Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mimi naishi Mkoani Kigoma umbali wa kilometa zaidi ya 200 toka moja ya wilaya za Mkoa huo na ni mtumiaji mzuri tu wa huduma za mitandao yetu hii. Mitandao miwili ndiyo inayopatikana hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF Napenda kuwataarifu nimefanikiwa kufungua SHOWROOM ya kuuza magari pale maeneo ya Magomeni, ipo barabarani kabisa... Kwa yeyote anayeuza gari anaeza kuni-PM tukakubaliana terms za kupark...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi natakiwa nisome masomo gani nikiwa hiph school niweze kufikia lengo la kuwa na transportation company..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina shida na construction plan kwa ajili ya commercial building ambayo itatumika kwa ajili ya matumizi ya kiofisi tu. Nahitaji construction plan ya kisasa na ya kuvutia yenye jengo lenye gorofa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini za saa hizi wote. Kama mjuavyo siku zote katika kuanzisha biashara;-cha muhimu huwa ni wazo kwanza.mm binafsi nimepata wazo la kufungua pump ya kuuza mafuta ya taa hapa mtaani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamnieee, unaweza kuamini bei ya kilo moja ya gas ni shs 3500/= na inapanda kila siku, sasa hawa ewura ( kwa lugha yetu inamaanisha "MKOSAJI") wanaregulate ktk petrolleum liquid peke yake? vipi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I remember in a topic, someone ask general job description. I've found an article tasks of general manager. I post here and hope that it's helpful for others. Oversee activities directly related...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wapendwa nauza hisa za NMB ushauri jamani niziuze au niziache lakini hisa zenyewe elfu moja tu gawio kwa mwaka elfu hamsini lipi bora kuziuza kufanya shughuli nyingine au Kachoki
1 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani nataka kufanya biashara ya gari ya tax pamoja na bajaji moja,zote nataka kununua second hand....ila zisiwe zimechakaa sana zisije kuanza kunipa tabu matengenezo,je shiling ngapi nikope...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ufanye ujenzi wa nyumba yako kuwa nafuu na rahisi kwa kutumia matofali yanayofungaman(interlocking bricks:poa)tembelea www.difining2morrow.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Heshima kwenu GT, Nina shauku sana ya kujua siri za mafanikio, njia halali walizotumia, mbinu na ujuzi waliotumia watu waliofanikiwa kibiashara hapa kwetu Tanzania ili wengine tujifunze kupitia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nipo kariakoo big bon baada ya kuangaika kwenye folleni muda mrefu, baada ya kufika nimeambiwa nayo yameisha. Aliyekuwa mkombozi BIG Bon naye aungana na wafanyabiashara, naambiwa yapo lakini mkuu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Yaani nauli ya DAR TO KIA ya precision air imepanda mpaka kufikia 457,000 TShs hii balaa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
THE PRIMERA IS IN STUNNING CONDITION INSIDE AND OUT- VERY ECONOMICAL,- LOW MILEAGE ON THE CLOCK- LOW INSURANCE GROUP- REALLY GOOD LOOKING CAR AND DRIVES PERFECTLY- LOTS OF FEATURES ON THE CAR-...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini zenu wakuu, nilikuwa na wazo wadau, tunaweza kuwa na tafrija ya kukutana kila mwisho wa mwaka na kuwapongeza wanaJF katika jukwaa la Biashara ambao wamefanya vizuri katika nyanja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi mie mwanafunz muda wa kwenda benk ninakosa ratiba ngumu cna kwangu. Nipo sehemu ambapo kuna NMB, CRDB, NBC na Benki ya Posta tu. Je ni benki ipi kati ya hizi naweza kuchange...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wapendwa wana jf, natumai mnaendelea vyema na poleni na majukumu. Napenda kuwashukuru wana jf wote waliyo niunga mkono ktk biashara yangu ya mayai ya kuku wa kienyeji, Nimefarijika sana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nipo hap ubungo mataa zaidi ya dk 30, kisa ni askari kaamua kuongoza magari. kuna haja gani ya kuongoza magari asby yote hii askari
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu mtazamo hasi (NEGATIVE PERCEPTION) wa baadhi ya watu, tena si wachache, ni wengi kweli pale mtu anapowaambia kuhusu Biashara ya ya Masoko ya Mtandao...
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi. KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…