Umejiandaaje na Xmas na Mwaka mpya?
Nauza majogoo chotara yapatayo 30 hivi. Yana umri wa kati ya miezi 6-8.5 ni makubwa yenye uzani wa kg 3-4. kwa walioserious tu piga 0762413132. Bei ni...
Digital writing and online postings have long been a hobby only, but the time has come to start making money from blogging. Dont believe us? Look at Tanzanian journalist Issa Michuzzi. He...
Business plans have changed a lot over the years. These days, theres so much that you need to take into consideration when putting pen to planning paper, so think clearly when plotting the...
Kuna kipindi huko nyuma baadhi ya watu binafsi au taasisi walikuwa wanafikiria kujenga pipeline ya mafuta kwenye mikoa ya nyanza za juu. Hii plan ilifia wapi? Naona bado kuna potential kubwa ya...
Kuhusu Swala la Marketinghatuwezi anza hivi?
- Si uongo kwa sasa kuna ushindani mkubwa sana wa kibiashara kwa sasa duniani kotejambo ambalo hufanya watu kuja na njia mbadala za kutafuta soko...
Habari zenu wana jf,natumai muwazima na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila leo.Kama inavyotakikana kila siku mtu afikirie ni nini afannye ili kipato chake kiongezeke,hivyo,hata mm...
Tanzanians look set to suffer even higher prices in coming months analysts said, after inflation rose for the 13th consecutive month in November on the back of higher food and energy costs...
Natumaini wengi tulishapitia hii lakini nadhani itakuwa vizuri kukumbushana pia!
TARGETSETTING FOR SUCCESS- LESSONS ON PERSONAL BRANDING(A talkby Eric Kimani to the British Council Leadership...
Habari zenu wana B&E,
Nahitaji nijishughulishe na kilimo hasa cha mahindi kwa kuanzia ekari 40 or 50 next year.
Ni mikoa gani ambako kupo vizuri kwa kilimo hiki? sehemu ambayo naweza pata eneo...
Kumekuwa na usumbufu mwingi wa mtandao huu wa Tigo toka wiki iliyopita, unampigia mtu simu kupitia mtandao huu unawekewa muziki tu na kuambiwa mtu huyo unayempigia hapatikani wakati simu yake iko...
Habari za Asubuhi.
Samahani, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu anamfahamu mchimbaji mzuri wa kisima cha maji (mpiga kazi + siyo laghai) kwa DSM. Dhumuni langu ni kwanza kufanya survery kujua...
Abduel Elinaza
12 December 2011
Bank overnight borrowing reached a 10-year high rate following tight money measures to contain the falling value of the shilling and high inflation rates.
On...
The government is looking for a way to scrap taxes on decoders to make the gadgets affordable to many people, as Tanzania switches to digital broadcasting technology from the analogue system...
Vipi wadau wa hapa ndani, leo nimekuja kwenu kuomba msaada juu ya hili. Nina baba yangu ambaye mambo yake yamemwendea kombo sana mwaka huu, haswa kwa swala la kifedha. Na ameniambia anataka kuuza...
Hi Ladies & Gentleman
I have an idea, teaching English to children and/or adults. Could this work? would any of you be interested in learning "speaking" English and if so, how much would you be...
Wawe na umri wa miaka 3 hadi 3.5, wale wa rangi ya brown, wakiwa wamepewa mafunzo watafaa zaidi, ikiwa unao ama unajua wanapoweza kupatikana hapahapa Tanzania tafadhali nijulishe, kwa pm bei, na...
Wana jf habari,mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo,nina ideas za ujasiriamali ila nakwama mtaji,naplan kutumia boom ili kuanzisha biashara yangu,ila problem ni kuwa mtaji huwa haufiki kwani...
Ikiwa unapambana na hali mbaya ya kiuchumi na kifedha, jua kwamba, hayo si mapenzi ya Mungu; bali Mungu anataka uwe na mafanikio katika mambo yote. Unapotaka kupambana na hali yoyote inayozuia...