mi nashangaa hao viongoz wawil waliopita kutawala bush na clinton wamekuja fanya nn? Et clinton kaja kufungua kadispensar yan ni kadogo kuliko nyumba ya mzee wangu! Mi nahis uranium iliyoko ukanda...
Habarini nyote.
Naomba ufafanuzi juu ya madirisha ya alumminium.nasikia kuna ya kichina(feki) na ya dubai(mazuri).maana nimepeleka oda yangu pale kwa wachina wa good one nimewauliza hawa mafundi...
Capital Markets and Securities Authority has said the Tanzanian needs to be educated on what cross listed shares mean for them to effectively participate in the business.
Nasama Massinda CMSA...
Gharama ya gesi, mitungi kushuka
Na Mwandishi wetu
30th November 2011
Mitungi ya gesi ya Oryx
Kampuni ya kuuza na kusanbaza Gesi ya Oryx gass inatarajia kupunguza gharama za gesi na mitungi ya...
Wadau naomba kujua hivi google wanavyotangaza kuwa unaweza kupata malipo kwa kutumia blog uliyoihost kwao kwa kuji register ili uweze kutumia Adsense ila kilionishtua wanataka details kibao
Wana JF!
Katika kuonyesha KILIMO KWANZA kwa vitendo, nimekuwa na wazo kwamba wana JF tunaweza kuunganisha nguvu zetu na kuwa na shamba la kisasa litakaloitwa JAMII FARM. Shamba hili liwe kumbwa...
Hello wana JF!
Jamani nna rafiki yupo somewhere nje ya nchi ameniambia anataka sukari guru (unfortified/unprosessed sugar)almost 1TON kuna mtu ana idea inapozalishwa hapa TZ nimejaribu kuuliza...
Wakuu kutokana na hali halisi ya uhaba wa nafasi za ajira nchini mwetu, pamoja na msisitizo kutoka Serikalini kuwa vijana tutafute namna ya kujiajiri kwa kufanya biashara halali basi ninafikiria...
jamani hii biashara ni biashara ya maajabu watu maarufu duniani wameirecomend hii biashara kwa maana ndio biashara pekee inayosemekana kuzalisha mamilionea wengi duniani kufikia 2015.kuna...
It is an obvious fact that financial aspects are a major part of daily life, as an adult and even as a young individual. Each and every one of us has to make financial decisions concerning...
Wakuu ni maoni yangu kwamba bima ya gari ni maarufu zaidi kuliko bima ya maafa ya nyumba. Ukilinganisha gari na nyumba naona nyumba ni muhimu zaidi kuliko gari. Ni kwa nini watu wengi hawawekei...