Za saa hizi wana jamii wenzangu!!
ni hivi nimeombwa ushauri nami naomba mnisaidie kuna mzee wangu anataka kununua roli la kusafirisha mafuta lakin mimi nimemshauri anunue roli la kubebea mizigo...
Wadau, Hali inatisha! kijana wa kikwere na kasherehe haya yasio kuwa budgeted wengine tumeanza kilimo kujikamua
Ishu inakuja soko
Navuna ndoo 2 kubwa kila baada ya siku moja, nawauzia watu wa...
Residual Income
(Passive Income) Some people go through their entire lives without being exposed to the term residual income, however with our education background and experience in wealth...
Imetumika Nchini miaka miwili na nusu, Iko katika hali nzuri sana, na inafanya kazi ya kwenda mbeya hadi leo, Ina engine ya 16, Gia 5, 7500cc, Inabeba tani 10. BEI 22,000,000 na maelewano yapo...
Nipo Arusha na ninahitaji gari hilo. Lisiwe la mwaka nyuma ya 2004, na halijatembea zaidi ya kilometa laki 1. Nina Tsh 7mil. Mwenye muuzaji au anayejua muuzaji mwenye nalo ani PM
Kampuni ya Young master Supplies & General Enterprises inayohusika na mambo ya IT iliyopo jijini Arusha inapenda kuwatangazia wananchi na wakazi wote wa jiji la Mwanza kuwa Mafundi na wataalamu wa...
WanaJF
Ninaomba msaada: Ninahitaji jengo la ofisi kama vyumba 2 au 3. Maeneo ninayopendelea yawe: Along Ali Hassan Mwinyi Rd, Msasani kwa Nyerere, Kijitonyama, Masaki na Upanga. Hata kama ni...
Wakuu leo kulikua na kongamano la TRA la kuwatambua walipa kodi bota na nyingi.Ila sijabahatika kujua ni kampuni zipi zimepata tuzo hizo.Sherehe zimefanyika Movenpick/Serena hotel.Please mwenye...
There have been spectacular advancements in information technology in the recent decades. It has resulted in an information explosion. It has therefore become very important to harness...
WAKUU HILI SWALA LIMEKUWA KISUMBUA VICHWA VYA WATU WENGI SANA. KWA KUJIKITA HUKU KWETU JAIBU KUCHANGIA KWA UNAVYO WAONA WAJASIRIMALI WETU,
RELATE NA HIZI FACTOR HAPA CHINI
8 Common...
Hello to all guys.
Ninajipanga kununua mazao(mpunga) wakati wa msimu wa mavuno kwani bei itakuwa chini,na baada ya miezi kadhaa nitauza,ila sina uzoefu na hii shughuri,msaada wa mawazo kwa yeyote...
Kwa muda sasa nimekuwa mtumiaji wa huduma ya M-Pesa. Pamoja na matatizo ya mara kwa mara ya "network"! lakini bado imekuwa ikisaidia sana katika kutuma pesa...
Tatizo lililopo ni kuwa hawa...
Ndugu zangu wapendwa nina wasalimu katika jina la yule mwenye jina lipitalo majina yote.
Salamu kwenu wanafunzi wote mlio vyuoni na mliomaliza masomo yenu.
Salamu kwenu kina Babalao na wengine...
habari wadau, jaman mimi nina shida ya machine ya koni yaan ice cream na pop corn ila ktk pitapita zangu cjawah bahatka kuziona dukani kwa mwenye details where i can get them na bei zake labla