TIGO sasa naona wamelewa sifa na sasa wanatufanya wateja wao kuwa ni Mazuzu tusiojua Taratibu na Sheria za Nchi, "TUTAWASHITAKI". Siku hizi ukimpigia Mtu wa Tigo kama Hapatikani wanakwambia...
Habari za kazi Mkubwa na pia pole na majukumu.
Mimi ni mdau wa utalii kwa mwaka wa kumi na tano sasa, nimekuwa niki deal sana na taasisi zako muhimu kama TANAPA, NCAA, TTB na nyinginezo.
Nafahamu...
BY PATRICK KISEMBO
24th October 2011
Worries about environment, legality
Govt says everything under control
The Parliamentary Committee on Lands, Natural Resources and Environment has...
Wadau nawasalimu, najua kuna topic nyingi za habari hii ya ufugaji kuku (kuzungu na kienyeji) ila nimeona niulize haya sababu ninataka anza ufugaji kuku huko mkoa wa Pwani. ila kwa kweli as...
Wakuu.
Kuna aliyewahi kuagiza gari kwa hawa jamaa kutuka Japan. wako tradecarview of course.
Yaani wamepokea hela zangu wiki mbili zilizopita lakini wameshindwa kabisa ku confirm shipping date...
African Barricks Profit More Than Doubles, Cash Costs Rise
2011-10-20 06:32:19.555 GMT
By Thomas Biesheuvel
Oct. 20 (Bloomberg) -- African Barrick Gold Plc, the
largest producer of the...
Dear all: nna miradi miwili that need funding patner and Im ready to give up to 50% shares. 1.ONLINE PHONE BOOK/SMS ARCHIVING SERVICES. Hii ni huduma ya kulipia ambapo mtumiaji atakuwa na uwezo wa...
Kuna ulazima wa kupeleka ritani za vat ktk ofisi za tra (w) manually na tena kutuma head office kupitia email.
Nimekuta afisa elimu kwa walipa kodi kamlazimisha ndugu yangu na wafanyabiashara...
Habari zenu wanajamii.
Naombeni msaada kuwapata wauzaji wa magari hapa Dar nataka kubadili biashara kuna gari nauza.
Zaidi ya kuandika forsale na kuwatumia madalali naona itanichukua muda,ila kuna...
Habari za leo imani yangu muwazima wa afya,nami namshukuru mungu naendelea vizuri.Naomba maoni yenu,me ni mwanafunzi kidato cha 5 ktk shule moja ya serekali hapa mjini znz,tangu nimefaulu nimekuwa...
Dear Customer:
To enhance security at your home and business premises, we supply and install the following high quality services at unbelievably low price.
Electric Fences
Security Cameras...
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha NGO.Ni nini kinatakiwa na ni hatua gani za kufuata ili kuanzisha NGO.NGO nitakayoanzisha nataka iwe ina deal na health, sanitation and hygiene.Nawasilisha...
habari za kazi waungwana
natafuta wataalamu wa uandaji wa bussnes plan,
wawe na utaalamu na si wa babaishaji waoneshe uzoefu katika kazi yao.kunishauri nk.
Nawasilisha
Safaricom has had more transactions using M-Pesa than what its global rival, Western Union, has moved across the world.
M-Pesa, which allows mobile phone subscribers to transmit as little as Sh50...
Mussa Juma, Arusha.
UPUNGUFU wa umeme katika maeneo mengi nchini, unaweza kutoweka kabisa kama Tanzania itaanza kutumia madini ya Uranium na kutengeneza nyuklia ya kuzalisha umeme. Kaimu...
It is a pity to see us unknown heroes to die unsung see? Eti benk cku hizi kutoa mikopo unaacha hati ya nyumba ama hati ya gari hakuna kitu kingine kinachoweza kukudhamini kama wewe sio...