Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Je hii Mastercard ya NBC inaweza kutumika kwenye paypal na online payment....?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi si mtaalam wa uchumi, naomba kueleweshwa. Ni muda sasa tangu noti mpya zimeingizwa kwenye mzunguko lakini za zamani bado zipo pia. Kwa maana hiyo kuna noti nyingi kwenye circulation. Hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nimeona net cash flow ya hii company kuwa ni negative miaka yote. Inawezekana madeni ni makubwa. Je hisa zao zawezalipa kweli au ni kulipia madeni tu...naomba msaada kitaalama
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana JF nahitaji kununua Toyota Chaser SX 100 cc 1800 kwa bei poa, kama kuna mdau anaweza nifanyia mambo tuongee biashara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Si kwamba wana JF wanaotumia mtandao wa Tigo ndio wateja wakubwa, hapana! Lakini tukijitaja hapa itakuwa sample mojawapo itakayowafanya Tigo wapate takwimu fulani zinazoonyesha impact ya uamuzi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Hali zenu wanajamvi. Hivi kunamtu yeyote ameshawahi nunua / agiza vitu kwa website ya AMAZON.COM vikawa delivered hapa Tanzania. Naomba kama kuna mtu amesha wahi fanya hivyo anipe experience...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo najiandaa kusafiri kutembelea sehemu mbalimbali za Tanzania hivi karibuni, na ninahitaji umbali wa kutoka Dar es Salaam hadi makao makuu ya kila mkoa Tanzania bara kwa usafiri wa barabara...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa maelezo zaidi click OneGreatMovie uangalie hii movie kwa dakika chache tu. Unaweza kunitafuta baada ya hapo ktk 0788002001 au iyennsemwa@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni daladala(NISSAN CIVILIAN) kutoka tandika kwenda posta...bado iko BOMBA na bei yake ni nafuu sana kwa maelezo zaidi piga 0755417774 or 0716172067
0 Reactions
0 Replies
3K Views
How do you find a new product or service, recognising that 80 percent or more will be new in five years? Here's a series of ideas. Number one, begin with yourself. Begin with your own talents...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hisa zimekuwa zinauzwa mara kwa mara, ila nimekuwa na hofu juu ya nini ninaweza kupata. Kidogo ninachofaham ni kwamba ninaweza kulinganisha bei niliyonunulia hisa moja na ya kuuzua katika muda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vodacom kupitia promoshen yao ya mega promo. Ukicheza tu hiyo bahati nasibu basi kila siku utakatwa bila ridhaa yako sh. 550. Huu ni wizi dhahiri, kila mtu anasiku yake ya bahati, wao wanacho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nitauliza tena, kwani topics za Saccos haziruhusiwi kuongelewa hapa? au ni za JE tu? "Great thinkers forum provided you thinking on the lines of the mods!" Naona kila thread ninayoanzisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nipo hapa mlimani city samaki & kiasi f'lani leo akili yangu imefanya kazi kidogo yakulinganisha. Nimegundua kuwa biashara kweli ni creativity, na huyu jiran yetu wa chicken hut ana akili kiasi...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Vodafone booked £3.5billion in profits through a subsidiary in a tax haven but paid just £1,400 in tax on the earnings, Financial Mail can disclose. The subsidiary of the mobile phone giant –...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi kama una pikipiki moja inayofanya kazi ya bodaboda,unaweza kuitumia kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank wa kununulia pikipiki nyingine? je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu siku hizi nikiweka vocha hazikai na matumizi ni yale yale tu, kwani gharama zimeongezeka au?? na mbona ni kimya kimya?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wajameni Nimetonywa kuwa biashara ya mchanga wa kwenye machimbo ya madini inalipa kiasi fulani na ni halali....nimeanza kujenga interest baada ya kupewa some hints lakini nahitaji kujuzwa zaidi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani habari zenu wakuu... Ni muda mrefu nimekuwa nikiwaza biashara ambayo inaweza ku dominate soko la dunia na kuwa na kampuni kubwa ambayo inaweza kudominate dunia na kushindanana brands za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wakuu habari zenu, Mimi nilikuwa nina swali moja naomba kuuliza mfano ukianzisha kampuni yako na ukaipa jina la itanzania na mfano hiyo kampuni ikawa inashughulika na vitu kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…