Gazeti la mwananchi la tarehe sita septemba,ukurasa wa kumi lina habari nzuri sana. Kumbe kuna jamaa/majangiri wanakamata vinyonga wenye pembe moja kichwani na kuwauza kwa dola 60 mpaka dola 100...
Ukiitizama hii Picha kwa umakini inaonesha idadi ya watazamaji kwa baadhi ya majukwaa, Huku jukwaa la siasa likiwa na watazamaji wengi zaidi. Je, Tafsiri yake ni nini?
Ndugu wana Jamii!Nina shamba la miti ya mitini kwa idadi ya 4280,shamba liko maeneo ya Msata Bagamoyo.Nataka kuchukulia Mkopo kwa dhamana ya Shamba lille.
Je kuna mtu anaweza changia ni jinsi gani...
Wana JF naombeni mnijuze ni wapi kuna duka la vitabu wanapouza kwa bei ya jumla. nahitaji kuuza vitabu vya higher learning/elimu ya juu.
tafadhari nisaidiane mjasiriamali mwenzenu....
Hey Members.
Am planning to quit my Current Employer for another Bread feeder.
I will be collecting my NSSF in six Months time worth above 25milion.
The truth is I really want to Plan...
Source Michuzi
East African Single Currency, The Hidden Dangers Part I
Debate ..
East African bloc of nations is sprinting to launch its unified currency in a year or so. However, there are...
katika pita pita yangu mtandaoni nimekutana na website ya CEO Roundtable - Tanzania, kwa kweli wameni-inspire nami nataraji siku moja nitapiga hatua toka CEO wa kampuni changa kama yangu hadi kuwa...
Heshima mbele wakubwa!
Mimi nimekuwa nikipita mara kwa mara na nimeguswa sana na moyo wa wengi hapa wa kufundishana na kusaidiana utaalamu wa biashara na ujasiriamali. Nimeona pia kuna ari ya...
Kwa wenye kumbukumbu vizuri, february 2011 tulikuwa na kikao pale Lunch time Hotel. Moja ya maazimio ilikuwa ni kupata shamba kubwa kwa ajili jf members wanaopenda kilimo.
Kwa upande wa misitu...
Wana JF naombeni mnijuze ni wapi kuna duka la vitabu wanapouza kwa bei ya jumla. nahitaji kuuza vitabu vya higher learning/elimu ya juu.<BR>tafadhari nisaidiane mjasiriamali...
Wakati mwingine najiuliza ni kwann tanesco inawalipa EWURA kutoka katika kila bili ya mtumiaji wa umeme?Kwa mtizamo wangu kwa kuwa mfumo wa uzalishaji umeme nchi kwa kiasi kikubwa unategemea maji...
The following is a guest post were pleased to share by Ignacio Mas, consultant associated with Bankable Frontier
mobile money providers are increasingly pondering the path from payments to...
Wadau naomba msaada wenu jins ya kuweza kuchapa kitabu ambacho ni msaada mkubwa kwa O'level. Kipo hatua za mwisho, lakini tatizo nililonalo ni pesa ya uchapishaji. Mwenye namna yeyote ya kunifanya...
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, piga namba 0658 517...
Nimekuwa nikifuatilia jinsi sekta ya miundombinu ya barabara inavyosimamiwa na kugundua udhaifu wa mfumo uliopo.
Barabara zote hapa nchini zinaendeshwa kwa mtindo wa public goods.
Kwa waliosoma...
Positive Mental Attitude ni kitu gani hii na inamsaada gani maishani mwetu?
Kuwa na tabia ya mtizamo chanya (Positive Mental Attitude) ni kitu muhimu sana maishani, iwapo tutashindwa sisi wenyewe...
WanaJF! Ndg zangu kwa wenye uzoefu ktk ma2mizi ya gas. Kwanza utazikuta ktk ujazo tofauti kt ya kg 15 ikiwa ni mtungi mkubwa,kg 8 hii ikiwa ni mtungi mdogo. Yote haya ni ktk kampuni yote hizo tatu...
Natafuta mbao ambazo zimeshatumika 2*4 pcs 100 na 1*8 au 1*10 pcs 60. Maeneo ya Mbezi beach, Tegeta, ubungo na Mbezi Mbezi Morogoro road. Piga au sms 0754692008.