Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

niwape pole wateja wa Vodacom kwa adha wanayoipata...........to be honest is a very serious problem.leo nilipita Vodashop ya Ohio nikakuta idadi ya wateja kubwa mno na wengi wao mara wanapofika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vinapatikana Boko Dar es Salaam, karibu na barabara maeneo ya Boko Califonia. Mawasiliano zaidi piga +255712833135
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo ktk pitapita yangu mitaa ya posta mpya jijini DSM nimekutana na ki2u, ambacho kidogo kimenishangaza, kuna vijana wawili walikamatwa na polisi kwa kosa la kujishughulisha na uuzaji wa chenchi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Qn: The money or money worth put in business by the owner is known as: a. Assets b. business c. capital d. Investment
0 Reactions
29 Replies
3K Views
WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ushawahi kushindwa kununua maji ya mia tano kwa sababu muuzaji hana chenji ya elfu mbili? Unataka gazeti muuzaji anakwambia chukua mawili, vinginevyo chenji hakuna. Katika pitapita zangu katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania raises royalty fee on gold exports SUNDAY, 28 AUGUST 2011 19:07 DOREEN DAVID DAR ES SALAAM, TANZANIA- The third largest gold producer in Africa, Tanzania, has attracted significant...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Alhaji Aliko Dangote from the oil rich Nigeria is the richest man in Africa with assets worth US$13.8 billion. He is 51st in the world. Just thinking loud about our Tanzanian businessmen...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nawasalim,tatizo langu ni kwamba tuna kampun yetu mimi na kaka yangu inajishughulisha na electrical repairs,instillations,repairs of ac and generetors,ina wafanyakaz watano,kampun yetu ina...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi, habari zenu? Ushauri wenu, maoni yenu ni muhimu kweli!!!!!!!!!! Nikitaka kujenga nyumbaya kuish mimi, mke wangu na mtoto wangu kama hii (AmazingPlans.com House Plan #1885C-SLM - 1885 Square...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wajumbe wilaya hii ni mpya imezaliwa kutoka wilaya ya handeni, mradi wao unaviwanja 570 bei yao ni tsh 500 kwa square mita wametangaza kwenye magazeti simu zilizoandikwa kwenye magazeti za...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
imeshanunuliwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF katika ulimwengu huu wa kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo kwenye nchi yetu nina imani kuna mambo mengi ambayo tunaweza tukashirikishana katika forum hii ya BUSINESS & ECONOMIC na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watanzania tumekubali kuibiwa? Au ni mimi peke yangu nakuwa mlalamishi? Lakini sidhani kama ni haki nimelipia internet bundles afu inatokea zijazitumia then ikifika expiry date zinakuwa cancelled...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SHERIA YA TAFLISI1.TAFLISI MAANA YAKE NINI?Tanzania kama nchi nyingine duniani,uwekezaji/ujasilimali na ukopaji wa benki au taasisi za fedha umekuwa ukiongezeka na biashara zimekuwa zikianzishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Una iPHONE ya zamani ? (3g au 2g).. na kama huitumii.. Niuziye ! Ill buy it , if its working or with any major/minor fault to be mentioned before selling... PM me ..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi. Nimechoka na hiki Chama, Natamani kuongozwa na chama kingine...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Muajiri wangu alitaka wafanyakazi wote tukafungue account NMB house pale azikiwe hili tuweze kuchukulia mishahara kwenye account zetu, lakini leo ni mwezi wa pili, napigwa danadana kuhusu kadi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mwenzenu nimeanzisha biashara ya mayai ya kienyeji toka Singida, ndio kwaanza natafuta soko, trey moja 12,000/= kwa wanao hitaji 0783 555603 au kama unaushari juu ya biashara hii wa weza nisaidia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://feedproxy.google.com/~r/reuters/rns_bus/~3/Xt5vC4CAWpU/us-japan-politics-idUSTRE7802W020110902
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…