Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu hiv ile systeam ya TRA ya kutax used car kutoka japani imeshaanza kufanya kazi? Nimepata NOAH ya mwaka 1999 japani,CIF yake ni dola 3100,je kodi yake itakuwa tsh ngap? msaada please...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
When you subtract out of sleeping time, commuting time, working time and time for things you have to do each and every day of your life, most people don't have more than one or two hours each day...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa Zantel kitengo cha Customer Care 'waliouzwa' kinyemela kwa kampuni nyingine hawajalipwa kwa miezi 2 sasa. Haijulikani kama sababu ya mwajiri mpya kushindwa kuwalipa ni kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati ule wa utumwa wa wana wa Israel nchini Misiri Mungu alimsaidia Yusufu kufasiri ndoto ya Farao, ni ndoto hii na fasiri yake sahihi ndizo zilisaidia nchi ya Misiri kuwa taifa lenye nguvu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna Mwanajamii aliweka hapa kuhusu Rare Minerals yamepatikana Japan; lakini tumecheki online na tumeona kuwa Tanzania is one of the rare countries ie. China, Japan, USA, Australia, SA with...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Soko la Samaki Feri walia umeme Send to a friend Wednesday, 20 July 2011 20:42 0digg Timothy Marko WAFANYABIASHARA wa samaki katika Soko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The SAGA continue, new episode of "KWANGUA MAGAMBA" ili uwe mpya Jairo, Ngeleja, Pinda.........................
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Habari zenu, Nilikuwa natafuta sponsors kwa kusponsor event ambayo itafanyika November mwaka huu, Kama kuna mtu ambayo anaweza kusuggest makampuni ambayo wataweza kutusponsor au wanaweza kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
eneo la ekari moja tutali nunua kwa shilingi laki nnne 400,000/= ekari kumi tuta nunua milion nne 4,000,000/= tutalima ekari moja kwa shilingi elfu thelasini 30,000/= ekari kumi lakitatu 300,000/...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufatia Power Rationing inayo endelea. Mionzijua Company Limited wanazo 3 different kits zinazoweza kukuepusha na mgao huo wa umeme. 1. Taa 4 na TV - 1 Pc, 600 Watts Inverter Charger aina ya AMPEX...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
China not only fakes iPhones… but Apple Stores, too! July 19, 2011 at 8:59 pm China might be known as the home of the fake iPhone, but what about whole stores...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua make kwenye mtandao wao hawaja-update.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hi. Flash za transend zenye warranty ya miaka miwili zina patikana. Karibu
0 Reactions
0 Replies
960 Views
WanaJF uchumi na teknoloia ya china unakuwa kwa kasi kubwa. Wamefikia hali hiyo kwa kutumia lugha zao hasa katika upande wa teknologia. Hivi hakuna haja ya kuingiza lugha zao katika mitaala ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Just part of the story from IPP(the Guardian).... Overall, MPs from Chadema and NCCR- Mageuzi have identified themselves as anti- allowances campaigners but their crusade hit a snag in the House...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tumesikia muheshimiwa raisi JK yuko Africa ya kusini kwa ziara ya kitaifa na pia ameshakutana na wafanyabiashara wa South Africa na kuwashawishi kuja nchini Tanzania na kuja kuwekeza kwenye nyanja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikitika sana kusoma haya makala ya watu kama hawa wanaosadikiwa kuwa ndio wasomi na viongozi wa kesho wanaoweza kuliokoa Tanzania. Hawa Vijana wanaipeleka Tanzania pabaya na Rhetoric Zao...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahakama kuu tanzania imeamuru RITA iifilisi IPTL kutokana na ombi la mshtaki.swali kwa kuwa IPTL ni bomba mojawapo la ufisadi,mafisadi watakubali?jee kale kategemeo ketu ka umeme toka iptl...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi huu mradi umeishia wapi? kuna mtu ana taarifa za huu mradi kama upo au la?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CEO Wa NHC yupo na Makwaiah Kuhenga kwenye kipindi ambacho ni recorded. Kwa haraka haraka nimeona strategic vision na shirika hili kongwe na ametaja some quick wins kama vile ku-improve liquidity...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…