Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nyomi niliyoikuta hapo Balaa na nusu Yaani kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezi jua tu unataka kutesa watu ukistaafu Naongea na wewe uliyeajiriwa[emoji58] Wafanyabiashara hawatakagi...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau salaama! Nampango wa kuja kuweka maisha hasa biashara, ufugaji na kilimo maeneo ya Kisaki au Bwakira chini-Morogoro kusini. Naomba kupa connection na wenyeji wa huko. Pia naomba ushauri...
1 Reactions
11 Replies
620 Views
Wazoefu naombeni ushauri wenu kwenye hili.. nahitaji nchi ya kwenda kuuza bidhaa zangu, nauza socks kariakoo, katika kutaka kujitanua na kutafuta wateja ni Wapi katika hawa jirani zetu panaweza...
3 Reactions
7 Replies
598 Views
Hello!! Nina 1.5 milioni nahitaji kuanzisha biashara ya vifaa vya simu na vifaa vya umeme. Je, hii pesa itaweza kumudu kuanzisha biashara hii? Watalam waje wanifafanulie vizuri
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Uchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka.
1 Reactions
4 Replies
546 Views
Nyavu ya inch 3 au 5 ukiinunua mpya ni kama million 1 hivi ambayo maliasili hawatakusumbua, chombo ni ngalawa ambayo ni kama laki 2. Ukimpata baharia mzuri akasimamia na wavuvi wake 10 kazi...
19 Reactions
45 Replies
2K Views
Mara nyingi waajiriwa wamekuwa wakipata changamoto ya kufeli kwa biashara, wanazozianzisha, tena mapema sana, kutokana na kutokuwa na uelewa (awareness) wa kutosha na muda wa kusimamia. Factors...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu, To the point...well nimewaza kama kuna uwezekano wa kununua boda boda mpyaa from china na kuziuza huku TZ huenda kule zikawa kidogo nafuu then nije niuze huku hata mkoa hatimae...
6 Reactions
20 Replies
10K Views
Waislamu wanatumia muda wa mwenzi mzima kwa ibada nzito ya kufunga na pia wanatumia gharama nyingi kwa maandalizi ya sikukuu ya idi ambayo nayo kusherehekea kwake kuna maelekezo ya kiibada. Kuna...
2 Reactions
10 Replies
546 Views
habari waku,nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya chakula kama mahindi,maharage na mengine .kwasasa nimeshafanya michakato ya kupata fremu ya kuuzia ila sijajua naanzia wapi kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani. Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
302 Views
Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh. 1. Dar es Salaam - 4,678,751 2. Iringa - 4,028,544 3. Mbeya - 3,788,604 4. Ruvuma - 3,396, 587 5. Kilimanjaro - 3,393,587 Mikoa masikini Tanzania 1...
12 Reactions
52 Replies
61K Views
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi...
5 Reactions
9 Replies
501 Views
Wakuu habari, Kuna uzi nilishawahi kuusoma humu ndani juu ya uwekezaji kwenye mifuko ya UTT. Kuna ndugu aliuliza ni kiasi gani anapaswa kuwekeza ili aweze kupata return ya Tshs 250,000 kila...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania imepanda Hadi nafasi ya 2 kama mzalishaji mkubwa wa Zao la Tumbaku Afrika ikitanguliwa na Zimbabwe. Hata hivyo Waziri Bashe amesema huenda Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
606 Views
Kwa muda mrefu nimekua na kiu ya kupata uelewa sahihi wa tresuary bills na tresuary bonds zinazosimamiwa na BOT lakini nimekosa maelezo sahihi au sijui nisemeje. Natama kufahamu yafuatayo:- 1...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ni habari njema sana. Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
"Nikiwa mzazi ninayetaka kuwekeza kwa ajili ya mustakabali bora wa mtoto wangu, ninavutiwa na fursa mbili za uwekezaji kwa watoto, yaani Watoto Fund - UTT AMIS na Junior Jumbo CRDB. Kwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza, nitumie nafasi hii kuwashukuru wadau wote tuliokuwa pamoja mwaka 2023 na hatimae tunaenda kuumaliza mwaka huu, Ombi letu kwa Muumba ni tuumalize salama, ki-ujumla ulikua mwaka poa...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…