Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwenye mambo ya kazi hatuchezi tunachezea mshahara sitaki uje unilaumu sikukupa akili weka na ile B&W ya kupima kuanzia buku.kale kapombe kazuri sana kana stimu lake special yaani kanakukamata...
1 Reactions
3 Replies
364 Views
Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie. Kwanza...
7 Reactions
13 Replies
17K Views
Habari wakuu ushauri kwenu nahitaji. Katika biashara zangu tatu wastani wajumla napata faida ghafi laki nne kwa siku wakat mwingne huzid hapo. Ila mtaji wangu kwa mwaka nikama hauongezeki uko...
10 Reactions
91 Replies
7K Views
Jamani naomba tu niwasalimu. Kuna changamoto moja naipata juu ya Neolife ni network market ambapo kuna mshikaji tunaheshimiana sana of course ni uncle ananilazimisha kujiunga nae. Anadiriki...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Mambo vipi wadau, Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeane basi...
14 Reactions
124 Replies
32K Views
Nimeona tusifunge mwaka na Mimi niweke japo tips kadhaa. Nafanya biashara ya aina moja lakini na source sehemu mbalimbali. Kwa sasa ni China, Uturuki na Nairobi. Hii biashara nilianza kama 5yrs...
62 Reactions
48 Replies
3K Views
Salaam wana JF, Naombeni msaada wa ideas business yeyote ninayoweza nikafanya kwa mtaji wa 2.5M eneo ni Nzuguni Dodoma. Natanguliza Shukrani
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za siku nyingi wana familia? Sina mengi ila naomba kuuliza kuhusu yule jamaa alikua anasaidia delivery ya bidhaa kutoka ktk online market zisizo safirisha bidhaa kwenda P.O Box. Mfano...
1 Reactions
6 Replies
483 Views
Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli...
5 Reactions
11 Replies
694 Views
Habari wakuu. Kijana mwenzenu nimefungua chuo na nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Nahitaji washirika wa kusaidiana kupata wanafunzi kwa mkataba maalum wenye manufaa kwa pande zote. Chuo kipo...
2 Reactions
2 Replies
403 Views
Naomba mwongozo iwapo nataka kuanzisha biashara ya Utalii, mambo gani ni ya muhimu kuyazingatia?
4 Reactions
33 Replies
22K Views
Ieleweke tu gharama za nyumba zimepanda na hivo hii inatuumiza sana wapangaji.Lakini pia si kua hamna nyumba za bei rahisi maeneo mazuti La hasha zipo tena zipo nyingi tu ila kukisekana kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo...
0 Reactions
5 Replies
330 Views
Unapota kuanzisha mradi mpya na mkubwa,mradi unaomini ukiusimamia vizuri utakutoa basi huna budi kuzingatia jambo Hili la mhimu ambalo wengi Huwa tunalisahau kwenye mipango yetu,jambo lenyewe ni...
4 Reactions
1 Replies
627 Views
Nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula kwenye mgahawa Wali pilau biryan na vitafunwa mshahara laki 2include chakula cha mchana kwa mawasiliano 0747848885/0742009965 Location kibaha visiga
3 Reactions
4 Replies
625 Views
Habar Wana jamii forum. Mimi nilipewa selfu kubwa na Babu yangu KABLA hajafa 2017. Pindi ananipa hiyo selfu alinipa bahasha tu kuwa ukifika mwaka 2024 January moja nifungue hiyo bahasha. Nilipo...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini; 1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value) 2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX)...
9 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu leo nimekuja na maada ya kuhusu miti ya mitiki. Je, ni nani aliyewahi kuuza miti ya mitiki au aliye sikia kuhusu wanunuzi ni wakinani Nazani wengi tunatamani kujua ilo.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Je unajua umuhimu wa mwamvuli kwenye kutangaza brand yako? Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako. Bidhaa hizi za...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri. Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi[emoji94][emoji94]
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…