Ukitaka kutoboa ndani ya muda mfupi wa Mwezi January hadi March kuna biashara maalumu za kufanya, japo zinahitaji mtu asiye na aibu aibu, pia mwenye wito wa kibiashara. Ni biashara ndogo ndogo...
Salaam Alleykhum,
Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri...
Imani yangu mko vema sana humu. Mimi Naenda moja Kwa moja kwenye mada naomba kuelezwa kwamba Kuna notion ya taifa kutumia fedha yake Kwa Kila kitu hata kununua bidhaa kutoka nje kw Hela yake...
Habarini wana Jamiiforums.
Mimi ni mjasiriamali, biashara yangu ya Sasa na iliyofanya Nika make hiyo pesa ni nguo za mtumba nayofanya katika minada...
Natamani kufungua ofisi nyingine, wife...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada, nina mpango wa kuingia katika biashara ya mtandao(Network Marketing), asilimia 80% ya maoni niliyoyapata kwa watu wa karibu ni negative; yaani wanaamini...
Umoufia Kwenu wana JF,
Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika...
…kama Umewahi kwenda Jeshini basi…
.
Utakuwa umeshawahi Kukutana au Kusikia Mbinu nyingi za Kivita Zikifundishwa…
.
Hata kama Hujawahi kusikia basi Ondoa shaka...
.
Kwasababu…
.
Hapa chini Naenda...
Habari!
Leo Jan-19-2024 Benki kuu ya Tanzania BOT imetangaza rasmi kuanza kutumia mfumo wa Riba, kama taarifa yao inavyoeleza "BoT YATANGAZA RIBA YA BENKI KUU KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2024"...
habari wa ndugu, naomba kufahamu anaye elewa utaratibu wa kuchukua mzigo wa rasta kwa bei ya jumla kutoka kiwandani anieleweshe na bei inakuwaje nataka kuanza biashara hii kuchukua mzigo mkubwa...
Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
Wakuu matumaini yangu wazima, Wote mtakumbuka katika hotuba ya bajeti ambayo imeanza kutekelezwa Julai mosi 2023 tuliambiwa kuwa Magari ya umeme hayatakua na kodi.
Serikali ya CCM ilienda mbali...
Marafiki wa kiume na wa kike kuna changamoto kwenye biashara yangu ha kukaanga chipsi ina mfa mfupi toka nifungue ila watu wakija kununua wananiambia biashara bila mizizi haiendi.
Mwengine akaja...
Salaam,
Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo wa vitenge hasa kutoka Tunduma, katika kuhangaika wa kunifungia mzigo nishajikusanya nikaanza kufanya utafiti nikakutana na sister mmoja anasema yupo...
Kwema jaman wandugu, napenda kujua haya yafuatayo kuhusiana na lipa ya Azam pesa.
Kiwango cha mwisho kutoa pesa n shs ngap???
Je ukitoa pesa kutoka Azam pesa kupeleka kwenye code ya Azam pesa...