Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani...
Habari zenu, naomba kujulishwa ni mfumo gani wa mauzo ambao ni mzuri kutumia kwa dukani?
Gharama iwe rafiki, mwepesi kutumia, huduma ya wateja inapatikana pindi kunapotokea tatizo, je mfumo...
Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana.
Pili napenda...
Habari Wana JF, I hope mko powa .
Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Dar es salaam, level yang ni certificate
Kwa kipindi kichache ambacho nimesoma nikafikiria nisikae bure kwani kuna maisha...
Wakuu habari za uzima?
Leo nilikuwa naomba nijifunze kitu hapa.
Nafikiri wengi tunasikiaga marekani anawekea nchi fulani vikwazo vya kiuchumi, kutokana kwamba yeye ni super power duniani...
Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto.
Ndugu MwanaJF leo ningependa...
Habari za muda wadau,
Nimekuwa interested na umiliki wa play station kwa Matumizi binafsi ya PS4. Kwa sasa ila nina Mawazo ya kuja kufungua biashara ya kuchezesha games kwa japo badae hasa baada...
Heri ya krismasi wakuu.
Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au...
Pamoja na kwamba leo ni sikukuu, Benki ya NMB ambayo ni Mshindi wa Tuzo nyingi zikiwemo za ufanisi wa kazi na huduma bora, kwa mara nyingine tena imeonesha kuwajali Wateja wake kwa kutangaza...
Habari zenu wakuu, samahani naomba kuuliza kwa Dar es salaam ni vyama gani vya Ushirika ambavyo vipo vizuri katika kuinuana kiuchumi?
Natanguliza shukrani
Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia.
Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia...
Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye...
Wanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
Wana Jamiiforums habari za kushinda!
Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na...
Wakuu habar zenu
Naitwa Norbet Daudi
Mzaliwa wa kigoma
Kwa sasa naishi mwanza
Wilaya ya ilemela kata ya kitangili
Nina tafuta bajaji ya abilia ya kukodi au ya mkataba yeyote mmiliki wa bajaji au...
Wakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au...
Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya wana JamiiForums wote. Bika shaka mpo salama na mnaendelea vyema na heka heka za kusherehekea hizi sikukuu, kwa wale wenye changamoto za hapa na pale...