Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na Utekelezaji wa Mradi wa njia ya Kusafirisha Umeme katika Reli ya kisasa (SGR). Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Daniel Sillo...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Aisee hawa jamaa soko lao lipo juu sana. Sh. 500 hizi hizi kwa mwezi huyu jamaa sidhani kama anakamatika. Nawaza vijiwe kama hivi unakua navyo kama 10 hivi. Sijui utakua wa level zipi hapa town.
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza kuhusu ujenzi wa plant ya madini ya dhahabu inaweza kugarimu shilling ngapi hasa kwa kiwanda cha kati au hata kikubwa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
FURSA KUMI ZA KUJIAJIRI KWA KIJANA. Na Evangelist Hosea Kione 1: Kilimo: Kilimo ni sekta muhimu sana. Unaweza kujiajiri kwa kufuga kuku, ng’ombe, au kukuza mboga mboga na matunda. Jifunze mbinu...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu habari Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja Ni taratibu gani zitumike...
3 Reactions
3 Replies
405 Views
Habarini Wadau, Ninahitaji fundi mzuri wa kushona nguo za kike/Wamama. Fundi awepo Arusha. Contact: 0655-946381
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naamini mmekuwa na siku njema ya Sabato Wapo watu wanadharau wauzaju wa Mbogamboga na matunda magengeni wakiwaona ni watu wa hadhi ya chini na wasiokuwa nadhifu Hata...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Benki ya isiyojali na kufikiria kero za wateja wao ni hii bank. Hawafai basi tu. Kila siku app ina matatizo huku wateja wakilala njaa kwa kukosa huduma.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vat leaching plant... Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%. Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia gharama ya kusafiri mpaka Mbeya Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu...
1 Reactions
14 Replies
589 Views
Greetings wana Jamii forum, Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
3 Reactions
16 Replies
693 Views
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama...
1 Reactions
9 Replies
718 Views
Ningependa kujua bei ya box la tiles brand ya twyford yenye size 40cm kwa 40cm kwa mwanza mjin? Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho? 1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama...
1 Reactions
1 Replies
425 Views
Habari Wanafamilia Wa JF, Katika Pitapita Zangu Za Mtandaoni Nimeona Bidhaa Nikaipenda,Haipatikani Popote Isipokuwa India. Muuzaji Anafanya Delivery Ndani Ya India tu. Naomba Kujuzwa Wana JF kama...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA Council of Ministers) kwa kipindi cha mwaka...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wasalaaam ndugu Wana jf Sjui ni kwangu tu au na kwako ipo hivi yaani kuna kiwango flani Cha pesa kukivuka kinakua na vizuizi vingi Sana mwisho wa siku unajikuta unacheza mule mule tu, sjui shida...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…