Ndugu wanajamvi,
Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa.
Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement...
How long have you been itching to start a small business? What’s holding you back?
So many people put off starting a small business because they think they need a healthy injection of capital to...
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za...
Dunia leo hii inawataja mabilionea wafanyabiashara wakubwa kama vile Bilgates, Carlos Slim, Abraham Markovich, Trump, Mc Donald, Jeff Bezos na wengine wengi waliofanikiwa kifedha na kupata...
Kwa hapa Dar es Salaam au mikoa mingine iliyoo changamka kama Dodoma, Mwanza na Arusha kama mtu ana mtaji wa milioni 4.5 anaweza fanya biashara gani ikatoa asipate bughudhaa ya migambo
MILIONI 13 ZA MBUNGE ULANGA NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO
Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametoa kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000) kwaajili ya malipo ya leseni za...
Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m...
Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi...
Ndugu wanajamii forum baada kuchoka kuajiliwa nimeona nijiajili mwenyewe na kampuni yangu mpya ya usafi, napenda kutambulisha kampuni yangu mpya iitwayo usafitz company , kampuni hii inahusika na...
Wadau bila shaka mpo vizuri sana,
Naomba mwenye uzoefu na biashara ya kununua mpunga na baadaye kuja kuuza, kwani nipo maeneo ambayo mpunga upo wa kutosha sana na bei yake ni ndogo sana, hii ni...
Poleni na majukumu wadau najua humu kuna wazoefu wengi wa kudumu katika biashara hizi mbili naomba uzoefu wenu katika biashara ya mbao kuja kuuza Dar yani nipate sehemu niwe nauza taratibu au...
Wakuu salaam!
Nimeangalia sana trend ya hawa vijana from 20 to 35 aisee wanaenda vizuri sana kwenye kutengeneza hela. Yaani wanatengeneza hela kwelinaweza kusema kuliko sisi wa kuanzia 40 kwenda...
Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw.
Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu...
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..
Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa...
Tanzania imepokea makampuni zaidi ya 20 kutoka mataifa mbalimbali duniani ambayo yameingia mkataba wa kufanya uwekezaji katika biashara ya hewa ya Kaboni unaotarajiwa kuwa wa thamani ya zaidi ya...
Alhamndulillah,
Suala la uchawi tunaambiwa lipo, habari za chuma ulete nafikiri zipo na zishawatokea watu wengi tu.
Kama kweli uchawi upo, wachawi wanashindwaje kuloga ili wakaibe pesa kwenye...
Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara
Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na...
Naomba kuuliza
Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute...
MUUNDO WA KATIBA YA KIKUNDI
Na Comrade Ally Maftah & Mwl Rashida Kayera
1. JINA LA KIKUNDI
2. ANUANI YA KIKUNDI
a. Iwepo anuani ya Posta na ya kimazingira mfano; ipo mtaa wa … karibu na …
b...