Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

…kabla ya Mwaka 1954 Dunia ilikuwa… Haijawahi kushuhudia kwa Muda mrefu Mtu akivunja… “REKODI Ya Dunia” …ya Kukimbia RIADHA ya Umbali wa… “MILE Moja kwa DKK 4” The 4-Minute Mile Record! Yaan…...
5 Reactions
2 Replies
555 Views
Kwanza kabisa nawasalimia kwa salamu ya pamoja, poleni na pilika za kutwa nzima, Karibuni unaweza kuondoka hapa na chochote, Leo nitawazungumzia watu wa makundi ya aina 3 1. WAMILIKI 2. WATEJA 3...
1 Reactions
1 Replies
409 Views
Miaka ya 90’s nchini nigeria… Kampuni moja la kutengeneza vyakula linalojulikana kama “Wonder Foods Nigeria Limited” Lilitangaza kuzindua na kuingiza sokoni bidhaa yake moja ya maziwa iliyokuwa...
19 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Nawasalimu katika bwana, hivi huchukua muda gani kwa mtu alienifanyia transfer kutoka bank nchini India mpaka kwenye account yangu ya Equity? Naomba kujua ndugu zangu. Currency ni...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana JF nlikuwa naomba ushauri kwa watu wenye uzoefu wa biashara yoyote yenye faida Location: Iringa Mtaji 300k
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila siku biashara mpya zinaanzishwa lakini nyingi zinakufa bila kufika mbali,unajua kwa nini?,sababu zinaweza kuwa nyingi ila moja ya sababu kubwa kabisa ni kwambia biashara nyingi zinakufa kwa...
5 Reactions
5 Replies
942 Views
Habari za muda huu wanaJF Mimi nimekuma nikipenda Sana mambo ya uwekezaji hasa online investment Sasa shida yangu ni platform ipi inafaa kwa kutumia coz DSE is such a **** and I have been buying...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Wana JF, Lengo la thread hii ni kupeana maarifa ya jinsi ya kupunguza gharama za ujenzi wa SLAB ya ghorofa. Gharama ya ujenzi wa slab "inatia uchungu" kwa vile inahusisha mahitaji ambayo ni...
15 Reactions
97 Replies
58K Views
Constituencies are the interested parties within a nonprofits' cycle which include stakeholders currently involved with the organization, those who have been previously involved, and those with...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Habari za muda huu Wana jamii forums, Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kutembeza nguo za mitumba za watoto majumbani inalipa? Na kwa hapa Dar niwapi naweza kupata robota kwa bei nafuu? Na ni...
4 Reactions
17 Replies
25K Views
Habari za majukumu wanafamilia wa JF Naomba Kwa yoyote mwenye wazo la namna ya kufanya ili kuleta tija kwenye dagaa na furu wanaopatikana huku Kanda ya ziwa ikiwezekana tufanye kazi pamoja Mimi...
1 Reactions
0 Replies
676 Views
https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/uganda-joins-other-eac-states-in-discussions-to-fast-track-start-of-sgr-4432842
1 Reactions
1 Replies
176 Views
Wadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Wakuu naamini humu kuna watu wengi sana wanaomiliki ofisi za kutengeneza simu mbali na Kariakoo yaani huku mitaani. Sasa hitaji langu mimi ni kufungua ofisi ya ufundi wa SIMU na LED TELEVISION...
2 Reactions
1 Replies
385 Views
Godfather ni mtu atakayekubeba kukusaidia kupata ajira au mtaji wa kuanzisha maisha, sio rahisi hapa nchini Tz kufanikiwa bila kuwa na 'godfather', anaweza akawa baba yako, mama yako, rafiki au...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo...
12 Reactions
264 Replies
75K Views
Wakubwa habari za majukumu. Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna kamtindo kamezuka siku hizi, unafungiwa line Yako and then ukiwapigia wanakwambia line Yako inadaiwa fedha, wakati hujawahi kopa Hela yoyote.... Plz ushauri au nani kakutana na kitu kama hicho.
1 Reactions
0 Replies
305 Views
Moja kwa moja bila kupoteza muda ni kwamba hivi karibuni magari niliyowaagizia wateja yamekwama kutokana na system kuwa chini (Wharfage aziomi kwa wakati). Swali langu kwenu ni lini tabia hii ya...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Nahitaji kuanzisha duka la nguo za ndani Nahitaji msaada sehemu wanapouza jumla Mwanza, Kahama na Kanda ya Ziwa kiujumla
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…