Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Unakuta Showcase nzuriii, inavutia ukimuliza fundi hii ni mbao ya mti gani? Anakuambia Mbao ngumu, kumbe ni haya ma play wood na sijui MBF. Unafika nyumbani jichanganye likae sehemu yenye maji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Habari za Majukumu, Samahani sana Wakuu, Nina shauku ya kufahamu hili: TRA wanauza machine za VFD na kuwahimiza wafanyabiashara kununua kwaajili ya daily uses, so, ni requaments zipi...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions. Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa...
1 Reactions
3 Replies
506 Views
Habari JF Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short...
4 Reactions
3 Replies
974 Views
Napataje Konyagi kutoka kiwandani? Nipo DSM, mwenye namba za hawa jamaa. Sitaki agent
1 Reactions
6 Replies
671 Views
Hapa mbagala Rangitatu kwenye daraja la mwendokasi la wavuka kwa miguu kwanza daraja hili lina vitu viwili Designing nzuri, limejengwa kwa myindo wa ku-extend kwa upana pande zote mbili pili...
6 Reactions
6 Replies
568 Views
Habari zenu.Naanza mwaka 2018 ndiyo ulikuwa ni mwaka wangu wa kwanza kumjua mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye anaitwa Paulo Mashauri. Ilikuwa katika kituo cha redio cha Times FM...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Habari za muda huu wana JF. Mimi ni mjasiriamali wa muda kidogo. Nimekuwa nikifuatilia sana upatikanaji wa mashine ya kutengeneza toilet tishue kwa hapa kwetu Tanzania bila mafanikio yeyote...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Caustic Soda kilo 3, Mafuta ya mawese lita 20, Sodium Silket, Maji lita 10, Rangi ya bluu 100gram. Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)-Chukuwa caustic soda changanya na maji na uanze...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
When you want to do or achieve something or you want to be somewhere, then two things will help you to. One thing will help you to start and the other will help you to keep going even if you do...
1 Reactions
0 Replies
405 Views
Wadau naombeni nisiwe na mambo mengi naombeni kujua yeyote aliyewahi agizia mzigo Alibaba ulimfikia vipi na ofisi za agent zao hapa Dar zipo wapi? Mimi nina experience na Kikuu nimeagiza sana na...
5 Reactions
125 Replies
15K Views
Binafsi Ni mkristo mkatoliki na Niko kwny biashara Zaid ya miaka 18 sasa Ila kiukweli jamii ya waislamu hasa wa Zanzibar, somali au bara wale wazee wa swala 5 Ni waaminifu sijapata kuona. 1...
43 Reactions
100 Replies
5K Views
Habari wakuu! Kama tittle hapo juu inavyojieleza. Mimi ni mdau mwenye uzoefu wa mambo ya kuhost wageni (wazungu) na ninayemini katika kujiajiri. Natafuta mtu wakushirikiana naye kuanzisha...
0 Reactions
17 Replies
864 Views
Natafuta connection ya hizi Bearing 22217 zinatumika viwandani mwenye anazijua please share uzoefu
0 Reactions
2 Replies
701 Views
MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati...
1 Reactions
0 Replies
621 Views
Ndugu zangu nimekuwa na nia ya kutumia fursa iliyotangazwa na WIZARA YA NISHATI ya ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini vya gharama nafuu kupitia EWURA nimeona natakiwa kupata KIBALI kabla ya...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…