Kwa maneno yake:
Tangu nilipofukuzwa Mzumbe niliwekewa caranteen ya kutoajiriwa popote Tanzania, mali zangu zote na haki zangu zote zilikamatwa nikaambiwa si zangu, publication zangu zote...
MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika...
Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda muwaogope...
Watanzania wenzangu tuacheni kuita kila kitu scam, pesa ipo huko kwenye Forex na Igaming, sio kila pesa mpaka ukalime jamani. Bila kusahau kuna VAULT ya MIL 200 pale sokabet bandugu wewe ita kila...
Watumishi wa Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini wanaendelea kutoa elimu, ushauri kwa wadau wanaotembelea banda la Wizara (MADINI PAVILION) katika Maonesho ya 47 ya Biashara...
Asalaaam wanajamvi! Kuna kitu kinaitwa Credit Reference Bureau kinahusika na list ya madeni yasiyolipwa na kuripotiwa kwao kutoka taasisi za kifedha(wakopeshaji)
Nahitaji kufahamu haya...
Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto....
Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza...
Kabla ya kuanza ushauri wangu nachukuwa nafasi jujitambulisha.
Kwa wasionielewa, binafsi nilifanya kazi kwa miaka mingi sana nje ya Tanzania. Kazi zangu zote zilihusu sayansi ya mawasiliano na...
Mimi kama mdau wa mapesa ya kigeni. Nasikitika kusema pesa Yetu ya Tanzania inaporomoka Kwa Kasi ya ajabu sana haina thamani kabisaa.
Hii fedha ni Kwa matumizi ya ndani tu, maana ukitaka utoke...
Jamani ndugu zangu naomba mtu anieleweshe MANIFESTION INAHUSISHA NINI? Na je inaweza kunisaidia kupata ninachotaka maishani mwangu? Mfano nataka kazi au pesa au maisha mazuri nawezaje kupata kwa...
VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza...
Hello 👋
Natarajia kupata pesa kiasi, fulani sasa nilikuwa natamani kufungua biashara ya car wash.
Napenda nijue ni eneo gani kwa Dar litafaa kwa car wash, na je, eneo hilo linakodishwa bei gani...
Wapendwa habari zenu,
Naomba kuuliza kwa mtu ambae alikata TIN ya biashara lakini hakuanza hiyo biashara na Tin alipewa, sasa ni miaka miwili hakurudi, Je hiyo kuifufua Tin haina shida na hakuna...
Habari wakuu,
Nimeona sio mbaya ukiwepo uzi ambapo E-commerce kama biashara nyingine, inaongelewa kwa kina kidogo. Tuulizane maswali, tupeane ma experience, changamoto, takes, nk.
[emoji362]...
MBUNGE JULIANA SHONZA AFYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA IFWEKENYA WILAYA YA SONGWE KUELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea...
Mara nyingi nayaona yakiwa barabarani yakiwa either yanaenda au yanarudi toka nje ya nchi.
Ningependa kujua yafuatayo;
1. How profitable is it?
2. Kupeleka mzigo nje ya nchi mf Congo kampuni...
Hello Wana jf ukiwa na mtaji wa laki 4 biashara Gani unaweza fanya
Sehemu nilipo ni mkoani, mzunguko wa watu na pesa upo,fursa za biashara ni nyingi ni mtaji wako tu....
Mimi
binafsi nilikua...