Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini. Na hivo vifaa navipata kwa bei gan. Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Natafuta location nzuri kwaajili ya kufungua biashara ya hardware hasa pembezoni mwa mji ambapo bado ujenzi unaendelea. Itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Dar au Pwani. Ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wakuu naulizia yoyote anaewafahamu wauzaji wabaiskel used Toka japani hizi mtumba za zakawaida zinatumika zaid mikoani..nahitaji kuwajua masupplier wanaouza Bei ndogo na baiskel nzur zaid
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante
3 Reactions
3 Replies
966 Views
MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Mimi ni miongoni mwa watu wanaojaribu vitu vingi sana, Naamini katika so called risk taking. Kuna mwana Jamii Forums humu alikuja na wazo, nilipoliangalia nikaona kama linawork, nikampigia simu...
25 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Natumai hamjambo nyote Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei...
4 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari JF Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu, leo hii nimeamua kuwasaidia wanafunzi wenzangu kwa kuwapa mpango mzuri wa biashara. Usishangae sana, uzuri? Wa mpango huu wa biashara unaweza kuanza...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Anayejua machimbo ya viatu vya kiume na sendo kariakoo msaada tafadhari!
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest...
14 Reactions
56 Replies
7K Views
Mambo vp wakuu... Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coaster au hiace.. Nilikuwa na kama 20Ml nahitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za...
3 Reactions
23 Replies
7K Views
Salaam jaman. #Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji.Aliyepo dar,kwa anaejua tafadhali msaada kupata mawasiliano yake. 0768 228 904/0622 228 904.WhatsApp/Call
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Wakuu habari. Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri Nawasilisha
7 Reactions
77 Replies
7K Views
MBUNGE KAINJA NA MIRADI KATIKA KATA 206 MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anatarajia kuanza ziara rasmi kutembelea Kata 206 na kuzindua MIRADI...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Ndugu wana JF Naomba kuuliza kwa uliye Zanzibar nahitaji soko la ubuyu yaani kuleta ubuyu Zanzibar kutoka bara
0 Reactions
6 Replies
705 Views
Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya...
127 Reactions
464 Replies
139K Views
Habari, Naomba kuuliza namna ya kupata EFD machine na gharama zake Kwa bei nafuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za miaka Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…