Habari wakuu,
Nauliza wapi ntapata chimbo la wauza mizani kwa jumla, mizani aina ya camel made in India au Galax maana machinga najaribu kuwadadia wamekua wagumu mno kutoa info.
Inaweza kuwa biashara yako inaenda vizuri, yaani kila ukifunga hesabu kimoyo moyo unasema “mambo si ndio haya !” Mara paaaap! Anatokea mshindani mpya aidha
anafungua pembeni/karibu yako biashara...
Fursa zipo kila mahali, ila changamoto huwa inakuwa kwetu ambao tumezungukwa na fursa hizo. Wengine wetu hudhani fursa ni kitu ambacho kipo wazi kama wengine wadhaniavyo, hapana fursa hii.
Fursa...
nimesoma kwamba unaweza ukapata faida kwa hii foreign exchange arbitages kuna triangular arbitrage na locational arbitrage ambayo unatumia tofauti ya exchange rates kati ya benki tofauti na...
Wakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio...
Ukifungua notebooks zetu utaona tumeandika mipango...
Hii mada nairudia tena kwa mara nyingine, mtaji ninao wa zaidi ya million saba tatizo kazini natoka Kuanzia saa 9 na nusu usafiri ninao pikipiki. Job kila siku Monday to Friday na pia ni mtu wa...
Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido...
Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine.
Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi kuzingatia maagizo ya...
WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na...
Salamu kwa wote!
Nimeona kuwa kuna wenzangu wanaopata shida katika kupata leseni ya biashara. Sasa hivi niko hapa kukusaidia kwa kutuma maombi yako na kuhakikisha unapata leseni yako kwa haraka...
MBUNGE NDAISABA AIPA SOMO TANAPA JUU YA MADINI YALIYOPO HIFADHI YA MANYARA
"Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mzuri na kwa maono...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao...
Habari Wakuu
Gari za scania aka Mende zinazotumika sana kubeba mchanga na kokoto zina ujazo gani (volume)?
Kama nitapata mchanganuo kama kuna zenye ujazo tofauti itakua vyema.
Asante.
MTANZANIA MWENZENU YAMENIKUTA...
Kuna likampuni la marekani lilinidanganya niwekeze. Halafu faida inayopatikana litanitumia asilimia kumi ya faida. Kweli faida limenirushia
lakini kwa njia...
Natumai wote wazima! Next week Nina safari ya kuwa huko kibiashara nikitokea Arusha. Nasogeza product yangu kwenye maduka niliyopewa order. Kwakuwa Mimi huko ni mgeni, natafuta kijana...
RITANI YA MWISHO YA KODI YA MAPATO
Mfanyabiashara binafsi mwenye mauzo ghafi kuanzia shilingi milioni 100 kwa mwaka au kampuni au NGOs wasilisha ritani ya mwisho ya kodi ya mapato ya mwaka 2022...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na sababu tofauti kumekuwa na panda shuka ya bei ya bidhaa tofauti kuanzia vinywaji hata vyakula.
Kitu cha kushangaza ni kuwa wafanyabiashara wanakuwa wepesi...