Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00. Hivi...
1 Reactions
17 Replies
629 Views
Hii tabia nimeiona kwa watu tofauti tofauti, sijuwi wanafanyaje ili biashara zao ziendelee kuwa hai maana si kwa dharau hizi kwa wateja!! Ni wale ambao ukifika dukani kwake hana hata muda wa...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajuzi wa hili waseme neno! Kuwa na jengo la kutoa huduma za vipimo vya afya, inalipa? Kama mjuavyo watoto wetu wanagraduate na Hamna ajira! Mzazi wa Sasa ana jukumu la kusomesha mtoto Kisha...
4 Reactions
3 Replies
958 Views
Wanajamvi habari, Nilikuwa nataka kuweka pesa yangu kiasi cha shilingi milioni 60 kwenye fixed account NMB, kwa miaka miwili, je nitapata faida kiasi gani kila mwezi, kwa wazoefu naomba mnisaidie.
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Takwimu ulimwenguni zinaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 70 ya fedha zinazoenda kwa Asasi za Kiraia kama ruzuku hutolewa na mtu mmoja mmoja yaani "individual supporters" . Kufanikiwa kwa Taasisi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajuvi hasa wa bank, ni kwango gani cha pesa ni limit ya mtu toka kwenye savings account na kwenda current account? kuna mtu kaniuliza swali na mimi sio banker.
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Hello brothers and sisters. Poleni na harakati wapambanani wenzangu. Niwashukuru kwa msaada tunaopeana kwenye upambanaji. Naitwa Abdul ni mwanafunzi niko NIT nimekuwa najihusisha na biashara ya...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini? Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya...
6 Reactions
84 Replies
5K Views
Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet...
26 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari Wakuu, msaada wenye uzoefu Nahitaji kujua hii biashara ya kubani CD, kuingiza season na nyimbo nk vinavyoendana vizuri ikoje changamoto zake, Unahitaj kuwa Na vifaa gani Na inacost bei...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari jamani, Nauza tisheti kali za aina tofauti, special Tshirt kali na nguo zingine. Hizi Tshirt nazopost leo Tsh. 10000 tu reja reja.
1 Reactions
5 Replies
606 Views
Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani. Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta. Kiasi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wana jf Mimi nimkazi wa Arusha, Kama kichwa kinavyojieleza Mimi nimuuzaji mdogo wa gesi mpaka sasa Nina mwaka katika biashara hii, kutokana na uhitaji wa kukuza biashara nimepata mtaji wa...
1 Reactions
6 Replies
663 Views
habar wakulima wenzangu na wafanyabiashara wa mpunga naomba kujua Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ulipo. Mimi Tabora, Nzega junia 95,000 - 100,000 Naombeni na wenzangu wamikoa mingne
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi KWA HUDUMA YA HESABU ZA KODI (FINANCIAL REPORT) RITANI ZA TRA (TRA RETURN) RITANI ZA VAT (VAT RETURN) SDL, PAYE, WCF KWA HUDUMA YA MAKADIRIO YA KODI...
1 Reactions
0 Replies
351 Views
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma...
13 Reactions
166 Replies
9K Views
Habarini wakuu. Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza. Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa...
2 Reactions
10 Replies
769 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…