Kuna Mama mmoja ni nanajuana naye anatafuta Miche ya Dragon idadi ya kutosha anataka kulima pande za Muheza Tanga, kama kuna mtu ana connection inapo patikana aniambie please.
Wadau hamjamboni nyote?
Natafuta jiko bora kabisa na la kisasa la plate mbili. Nauliza napata wapi jiko hilo kwa hapa dsm na pia nauliza bei yake.
Nauliza pia bei ya mtungi mkubwa wa gesi bora...
Aisee niaje? Naomba Tupeane ideas,iwe ni practical, unachokifanya sio utuletee mawazo ya biashara usiyo ifanya,
Mfano binafsi, biashara ya electronics used kama laptop, unaweza kununua kwa Bei ya...
MBUNGE WA KALIUA AMEITAKA KAMPUNI YA CCECC KUWAPA VIJANA AJIRA
Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI ameitaka kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC)...
Naomba kufahamu kuhusu hizi kemikali ambazo nimeziona watengenezea sabuni za mche na kutumika kama mbadala wa mafuta, sodium palmitate na sodium palmkernelate anayejua kuhusu hizo kemikali.
Ni muhimu kuelewa kwamba kutegemea kipato kimoja pekee hakuwezi kukupa uhuru wa kifedha. Ni muhimu kujenga vyanzo vya mapato mbalimbali ili kuweza kuwa na uhakika wa maisha yako ya baadaye.
Kuna...
Waziri wa Nishati, January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na...
Nimegundua Jf hata ukianza mada kwa kusalimia, wajumbe hawajibu, bali wanaenda moja kwa moja kwenye kuchangia, hivyo kwa leo, sitosalimia.
Kwa wengi hali ni ngumu, iwe walioajiriwa au walioko...
Wakuu natumaini mu wazima,
Nina mpango wa kuanza kuuza vocha za jumla za mitandao ya Tigo na Vodacom, naomba kujuzwa ni wapi naweza kuzipata na pia kwa lolote linalohusiana na hii biashara...
NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI NCHINI NAMIBIA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano kati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
Habarini za wakati huu.
Mwenye uelewa wa kwanini wafanyabiashara wengi wakienda kununua bidhaa maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO, naomba anielezee...
Habarini,
Hivi sasa kumekuwa na wizi wa mabenki kwa kuweka tozo nyingi kwenye akaunti za wateja wa mabenki hivyo kujikuta hela zina katwa tu bila sababu za msingi.
Mteja ameweka hela zake benki...