Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wasalaam, Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi. Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Bima ni mkataba wa kulipa fedha katika shirika la fedha ili kupata fidia wakati mlipaji anapofikwa na ajali au hasara fulani au kurejeshewa fedha zake pamoja na faida baada ya muda maalumu. Bima...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kipi kinatangulia ukifungua biashara between kuwa na eneo na kuregister . Yaani mfano unafungua duka kwanza then ndo umaregister ? Au vice versa
0 Reactions
5 Replies
382 Views
Nahitaji mtu atakayeweza kuchoma chips Katoro nampa vifaa vyote na mtaji wa kuanzia. Awe mzoefu wa kazi hiyo 0676628429
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Nataka ninunue bajaj kwa ajili ya biashara je bima gani ni nzuri. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
6 Replies
8K Views
NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya...
1 Reactions
2 Replies
687 Views
Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Haya wanajamvi, ndugu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Binafsi niliwahi kuchukua mkopo wa milioni 5 kwenye bank moja hivi. Marejesho nakumbuka yalikuwa 516,666TZS kila mwezi kwa miezi 12. Hakukuwa na manufaa sana ila tu mkopo ulisaidia kuinusuru...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za mda huu mabilionea wa sasa na wajao. Tumaini langu mnaendelea vema na harakati za kutimiza ndoto zenu. Ni kama mwezi nilikuja kuomba msaada kwa wajasiliamali wenzangu juu ya biashara ya...
17 Reactions
139 Replies
32K Views
Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za muda huu Wanajamvi poleni na mihangaiko ya wiki nzima nimekuja hapa kutafuta soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi na hata njee ya Moshi kwa sasa kuku Wana week 4 na siku 5 hivyo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajamvi vipi? Naomba uliza. Hivi kuna mkopo wa nyumba hivi. Una kiwanja, then bank inajenga nyumba afu ikusanye kodi mpaka itapomaliza mkopo wake. Je, kuna hii huduma kwa bank yeyote Tanzania?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Nimeona kuna mada ya mambo ya kusevu nikaona nishee story yangu inaweza kuwa msaada kwa mtu fulani sehemu fulani.. 1. Take home ilikuwa ni 1,300,000 baada ya makato yote kazini...
58 Reactions
86 Replies
15K Views
Salamu Wakuu Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha. Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Mahawanga Janeth amekabidhiwa Tuzo ya Heshima na Wafanyakazi Wanawake wa TALGWU Mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe zilizoandaliwa na Wanawake hao...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Za asubuhi, naombeni mwongozo kidogo. Nimenunua mzigo wangu toka Ali express ila sielewi, ikiwa hivi ndo inakuwaje? Mzigo umefika ama niendelee kusubiri?
1 Reactions
5 Replies
446 Views
Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Wakuu habari za majukumu? Naomba msaada jina la App inayotumika kwaajili ya mauzo.. Yaani itakayo nisaidia kwenye kujua mauzo yangu.. Kutoa invoice na kujua faida kila siku, wiki na mwezi. Pia...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii? Ukizingatia yafatayo 1. Makato nafuu 2. Huduma nzuri za kiofisi 3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k. 4. Smooth...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…