Habar wana jamii, leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo mara nyingi hutokea baina ya mteja na mtoa huduma.
Mara nyingi tunapenda kua na haraka pindi tunapohitaji huduma tuchukulie kama...
Leo nikiwa kwenye mafunz fulani,nilikutana na hili somo nkaona nisiache kuliandika humu:
Mnaweza pia kulisoma kupitia Upendokitundu ndani ya masaa 24 tu.Ukikuta kuna matangazo utapaswa...
Kwanza kabisa napenda kuwasalimu Jf family. Ni tumaini langu u buheri wa afya. Kama sivyo nakuombea upate afya njema ili uendelee na kazi zako zakusaka noti.
Leo nataka nikuonyeshe jambo kuhusu...
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada chap chap...
Mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi,kazi yangu inakula mda wangu wote,sipati nafasi ya kusimamia ama kuendesha biashara zingine.
Ila nina hobby ya...
Habari zenu wana Jamii F. Naomba msaada kwa yoyote anayejua wapi wanauza vyombo vya ndani vya mtumba(masufuria, sahani, vikombe, urembo etc.
Natanguliza shukran
Habari za leo wana JF?
Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa.
Wataalam...
Kwema wadau.
Hii biashara imekaaje? Kuna sehemu imechangamka sana na kuna frem mtu kaiachia kwakuwa amehamishwa kazini kwakwe so ameamua kufunga maana usimamizi utazingua. Yeye alikuwa anaendesha...
Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko...
Wanabodi biashara hii itaniua kwa pressure, tangia nimeianza sijawahi pata pesa zaidi napata hasara tu. Mara ya kwanza ni miezi mitatu iliyopita nimepata short ya 200,000/= leo nimechek nimekuta...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi...
I would like to look out for people (man/woman) in need (depressed/sad) of consultation without charging anything.. i would give advice to the best of my knowledge.
No numbers will be shared...
Ushauri sahihi Ni upi ??. Na ushauri kutoka kwa Mtume Mwamposa.
Je mtaji yafaa kuingizwa kwenye biashara au kujenga nyumba ya kuishi ?
Hii inawahusu zaidi waajiriwa.
Mtume na Mchungaji...
Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania benki za Biashara kuweka rekodi faida zaidi ya trilioni 1.16 Tzs kwa Mwaka.
Ndani ya kipindi cha miaka miwili mabadiliko ni makubwa kutoka bilioni...
Kama kweli unataka kufanikiwa anza kwa kuwekeza kwenye maarifa.
Watanzania wengi akipata hela anawaza kufungua biashara. utasikia nina mil 100, mil 5 au nina 500k nifanye baishara gani?
“Biggest...
Habari za muda huu ndugu wanafamilia wa Jamiiforums, baada ya kuzunguka sana kutafuta kijiwe cha kupeleka bajaji kupiga kazi na kukutana na garama kubwa sana za viingilio, nimekuja kwenu wadau wa...
Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie.
Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana.
Asante
Habarini Wana JF.
Mimi ni kijan wa miaka 22 ni mwanachuo nimekuja na wazo la kuanzia biashara ya devices ndogo ndogo za electronics kam scientific calculators,smart watch na airpods.... nilijarb...
Karibuni Sana Fay Fashion Tanzania yenye Duka lake Jengo la NHC House Mtaa Samora, Dar es Salaam, Kwa bidhaa Bora kabisa za Ngozi halisi zilizotengenezwa Tanzania.
Kwa eneo la uswahilini katikati ya mji ambapo jamii inayoishi wengi ni waswahili, wamama, wanafunzi, watoto wengi sana, wafanyabiashara na wajasiriamali, jamii ya watu wanaopenda mambo ya miziki...