Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
2 Reactions
18 Replies
441 Views
Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya...
8 Reactions
37 Replies
727 Views
Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu mpo salama? Naimani kuwa Kila mfanyabishara ama mtoa huduma anahitaji kuwashawishi wateja wake wanunue bidhaa ama huduma anayoitoa jambo ambalo si rahisi pia kama hutojipanga vyema Kila...
2 Reactions
2 Replies
878 Views
Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
TUNAJENGA UCHUMI JUMUISHI Taifa letu linalenga kujenga uchumi jumuishi unaokua kwa kasi na unaoimarisha ustawi wa watu kwa kuboresha huduma za jamii na kupunguza umaskini wa kipato kwa mtu...
0 Reactions
4 Replies
108 Views
Wataalamu wa mambo naomba kujuzwa kuhusu ununuaji wa hisa za DCB, na mnazionaje kwa mwaka 10 mbele vipi kuna uwezekano wa kupata faida kubwa
0 Reactions
2 Replies
178 Views
TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI ▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink ▪️Korea yaonesha utayari...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country? Faida Yake Ipoje? Na Changamoto Zake? Ahsante Sana!
1 Reactions
10 Replies
332 Views
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje...
26 Reactions
120 Replies
4K Views
Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787! FAIDA YA HIZI SHIMO 1. Kama utajenga kwa kufata...
1 Reactions
3 Replies
146 Views
Natafuta bei ya madini ya Red Garnet na soko lake liko vpi. Nina kilo za kutosha na sample pia zipo. Naombeni bei kwa @kg kwa wadau wa stones.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari za majukumu wanajamvi Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla k.koo anisaidie mawasiliano yao.mimi napatikana mwanza.
4 Reactions
16 Replies
527 Views
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10...
97 Reactions
440 Replies
27K Views
Habari wakuu, Hapa juzi elimu kuhusu crypto currency imekuwa inatrend Hadi bungeni huko, wabunge wameanza kuwa wanazungumzia hili swala, yule mbunge kafika mahali kabisa kasema serikali ingenunua...
14 Reactions
71 Replies
17K Views
Wakuu haya ni madini haya au ni mawe tu? Kwa atakaye yahitaji tuwasiliane
3 Reactions
38 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi...
7 Reactions
30 Replies
672 Views
INTRODUCTION. Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund.. Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government...
86 Reactions
400 Replies
22K Views
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data. Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote. Huu ni wizi na...
5 Reactions
33 Replies
643 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…