Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji.
Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa...
Habari wanajukwaa,
Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector...
WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI
▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570
▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa...
Ndio maana wengi wanakimbia ukanda huu wa biashara
Unakuta unakosa nguvu na kuwa na variety nyingi dukani za kuvuta wateja wasiondoke kwa maana wasikose bidhaa fulani dukani kwako
Kwa hio kama...
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa...
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Karibuni jamani niwaelekeze sehemu za kupata mitumba safi hasa kwa wale wenye vipato vidogo na unataka kuanza biashara usisubiri hadi upate mtaji mkubwa unaweza anza na kidgo nitakuonesha sehemu...
Kuuza nguo mtandaoni ni mojawapo ya fursa kubwa za biashara zinazochipukia kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa teknolojia na ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram...
MWAKAWASILA CONSULTANT
Ni mshauri wa kifedha ni mtaalamu anayetoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, na kufanikisha malengo ya kifedha.
Huduma zake mara nyingi...
Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia.
MATUMIZI YA ALMASI
Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti...
Ndg zangu habarini za majukumu?
Naomba ushauri au msaada nini nifanye juu ya hili:
Mimi ni mjasiliamali nafanya uchuuzi na taasisi za umma na serikali, mwaka jana wote biashara haikuwa nzuri hasa...
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa...
Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki....
Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect
Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye...
Tunasema…
Moja ya eco – system zenye PESA nyingi zaidi duniani basi ni pamoja na…
“MPIRA WA MIGUU”
A.K.A… SOKA!
Yaani…
Ukikaa sehemu yoyote ile ndani ya MCHEZO wa mpira wa miguu basi una...
Habari ndugu zangu wa JF
Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma.
Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye...
Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔
1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam...