Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia.
Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji...
Wasalaam. Naomba kupatiwa mwongozo wa upatikanaji wa vifaa vya Salon ya kiume ikiwa ni pamoja na bei ya Mashine za kunyolea pamoja na viti. Pia bila kusahau utaratibu wa malipo kwa kijana...
Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi.
Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza...
Hello JFs members
Naomba mnipe mawazo/ushauri juu ya ununuzi wa magari yanayopigwa mnada na TRA kwa njia ya mtando.
Idea niliyonayo ni kwamba ninunue gari then nilifanyie matengenezo kidogo...
Wakuu habari...
Siku hizi kama tunavojua kuna biashara nyingi sana za online huku ukifanyiwa delivery either free or malipo kidogo.
Japo ni rahisi kushawishika kwa ubora wa bidhaa wanazouza...
Habari za muda huu wakuu natumai mmeamka vyema sana.
Kwa wale wazoefu wa kuchukua mzigo Karume au Ilala je mabero ya viatu hasa raba na viatu vya shule pamoja na vya kike huwa vinafunguliwa wapi...
Habari ndugu naomba msaada kweny huu uzi maana nadhani kwa elimu ya Tanzania wengi hili tatizo linatukumba kwani watu tunasoma advance alafu hatuna cha kukaa nacho akilini kua tukifaulu University...
Habari ndugu zangu, kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari. Natafuta taasisi za kifedha au mabenki ambayo yana masharti nafuu kwa mkopaji mdogo.
Kima cha chini cha mkopo naohitaji ni milioni...
Habari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi
Nahitaji full details na GHARAMA...
Hizi mahakama za kodi zilizoundwa kushughulikia rufaa za kodi zivunjwe. Zimeundwa ili kuipendelea TRA.
Matokeo yake ndio maana ziko chini ya waziri wa Fedha. Sio sahihi kabisa.
Kiundwe kitengo...
WAKUU NIMEJARIBU KUWATAFUTA MTANDAONI NIMEKOSA MAWASILIANO YAO
Nataka kuuza vinywaji vyao kwa jumla ila utaratibu siujui. Naomba mwenye kujua anifahamishe
Wadau habari.
Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa...
Kuna vitu sivielewi, wengine wanasema ukiona project haiendi vizuri baada ya miaka kadhaa achana nayo fanya ishu zingine, wanaita upepo umekata.
Wengine wanasema biashara ama mradi wowote...
Habarini!
Natumaini wote tuko salama kwa neema ya Mungu.
Karibuni kuniungisha raba za mtumba kwa bei ya jumla, nipo Kinondoni Studio, barabara ya kwenda Mwananyamala opposite na Akiba Commercial...
Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo.
1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba
2 Kuwasha TV
3 . Redio
4. Kichaji
Naomba msaada kwenye...
SINGAPORE AIRLINES (SIA), hili ndilo shirika la ndege bora zaidi kwa kutoa huduma kwa wateja, yani ukichukua mashirika yote ya ndege kama British airways, Emirates, air TANZANIA nk, Singapore...
Natumain wazima?
Kama kichwa cha habari kilivyo. Maisha yanahitaji akili ichangamke na kujituma hakuna janja janja,Kwa mlioajiriwa muda mwingi ofisi zinawahitaji muhudimie na Kwa muda sahihi...