Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Twilumba Mlelwa Amesema kuwa, maonyesho ya 46 ya Jukwaa la kimataifa la biashara Dar es Salaam DITF yalikuwa na mafanikio...
Habarini Wandugu JF
To the Point
Kumekua na Dhana Kwamba Mtu kuwa dalali au kutaka kujihusisha na udalali ni lazima iwe kwenye viwanja / nyumba na Magari (magari ndio trend ya siku hizi) + ni...
Habari wa jamii forum natumai mu wazima wa afya na mnapambana kutafuta kitu cha kwenda kinywani
Leo napenda niongelee kitu kimoja kwa muajiliwa anayetamani kujiajili huku akiwa kwenye ajira yake...
Habari JF
Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili.
Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya
exhibition display designer
industrial /...
Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida.
Kuna aina mbili za biashara...
Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi.
Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate...
Habari za humu ndani ndugu zangu.
Katika hali ya kuchakarika na kutafuta maisha hatimaye leo nimekuja na wazo langu ambalo nahitaji msaada toka kwenu wadau au kama kuna wazo zuri zaidi ya hili...
Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro)
ZAO MPUNGA
Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1...
Sina uhakika sana na wala sio wa muumini wa hivi vitu ila kama itakuwa kweli basi hizi imani zimekuwa changamoto sana hapa dsm
Nilikuwa katika harakati zangu za kutafuta fremu kwa ajili ya...
Naamka asubui naangalia wallet yangu kitandani " dah! amna kitu, Mungu wangu nimekosa nini mimi?". Hii ilikuwa sentensi yangu kila siku nilipokuwa nikiamka na nililaani sana mfumo wa nchi hii kama...
LOS ANGELES:
INDIA imechagua kujiondoa kujiunga na Jukwaa la biashara ya Mfumo wa Uchumi wa Indo-Pacific (IPEF) kwa hoja zake halali kuhusu uwezekano wa masharti yaliyowekwa sambamba na masuala...
The Times of India
By SAURABH SINHA
LOS ANGELES:
India has chosen to opt out from joining the trade pillar of Indo-Pacific Economic Framework’s (IPEF) for its legitimate concerns regarding the...
Wadau naomba kujulishwa hii biashara!
Mwaka jana mwishoni nilipata wasaa wa kukutana na M.C mmoja wa maeneo ya Temeke akasema kwamba nina sauti yenye ujazo inayoweza kunipatia mpaka million moja...
Nina 2.3 ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze...
Naombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
Ogopa sana mwanamke mwenye vikundi vya vicoba na mikopo wengi wanatumia hiyo kama njia ya kumchuna mume wao kwani wengi wao wana ahadi tamu sana kwa waume zao za kujikwamua mtu unaweza hata...
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk
Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji...