Habari zenu waungwana,
Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
Ndugu zangu wa-Tanzania mambo vipi? Mko poa? Kama jibu ni ndio basi fresh na kama sio basi hakuna tabu, ila ninamachache ya kuzungumza na ninyi then niende zangu.
Nisikilize sasa,
Hakuna kipindi...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma juzi. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa...
Wana JamiiForums samahanini kwa usumbufu, Nina mtaji wa million 70 nahitaji kununua gari ya mizigo ili iweze nipigia dili nyingi na nipate nakurudisha fedha yangu kwa haraka.
Ushauliwenu naomba...
Mifuko ya nylons (meupe) iliyokuwa mtetezi mkubwa wa watu, sasa imepigwa marufuku rasmi kutumika kwa madai ya uchafuzi wa mazingira
Hii inatengeneza wigo mpana wa biashara za mifuko mbadala haswa...
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani?
Anaonba ushauri na je, atabaki na shilingi ngapi take home kwa muda wa miaka 7?
Asanteni.
Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama
Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 .
Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla)...
Habari za muda huu wakuu, ni tumaini langu mko salama. Na mnasongesha gurudumu ili La kila siku ilihali maisha yaenende sawia.
Sipo hapa kuwachosha sana, Mimi nimekuwa ni mpenzi sana na navutiwa...
Nimefanya kazi ya Kutengeneza Matangazo ya Wafanyabiashara pamoja na Matangazo yangu binafsi...
Naweza kukuambia kama Unahitaji Tangazo lako Lifanikiwe au Lifeli
Basi zingatia/usizingatie Vitu...
Nawasalimu wote.
Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea...
Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea.
Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu anabahati ya ndugu au...
Naishi nje ya Nchi.....!
Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....!
NB.
Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking.
Asante.
Nani hubeba mzigo wa Kodi?
Miaka michache iliyopita iliwahi tokea bank withdrawal charges zikaongezwa Kwa order ya serikali ikiwa ni kwamba ile nyongeza iwe pesa ya serikali Kwa hoja kwamba...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana
Ningependa kupata ushauri kwenu
Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
Niko mkoa wa Simiyu, ni shamba la eka moja na nusu. Kwa wale wanaonunua shambani kwa bei ya jumla karibuni. Makisio ya tikiti ni kuanzia 1500 - 3000.
Mawasiliano 0786382988, 0742366392.
Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA?
Napenda kujua, ni mtaji...