Niko katika mchakato wa kuangalia fursa za kibiashara maeneo tofauti tofauti ila nimefikia muda wa tathmini ya biashara Zenji.
Nina hamu ya kujua biashara ambazo zinashamiri za kutoka Dar kwenda...
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza ni bank gani nzuri naweza kubadili dollar 500 kuileta hela yetu ya kibongo, ile ya kubadilisha iwe 2400 na sio 2300.
Kijana huyu ni msomi. Aliesoma vyuo vikuu vya UDSM na Mzumbe. Anawathibitishia vijana wengine wa Tanzania kwamba kusoma sio lazima uajiriwe. Msome Fred Vunja Bei Wikipedia. Machinga mwenye ukwasi...
Habari wataalam.
Nahitaji mbia ili tuendeshe kampuni ya ujenzi(Contractor) Class 6. Kiuhalisia kampuni ipo tayari, ina uzoefu wa kutosha, vifaa vyote vya kazi na Staff wote wa kufanya kazi za...
Habarini wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kwa ufupi kabisa binafsi nimepatwa na shahuku ya kuanzinsha kampuni yangu binafsi itakayo operate under six members as share holders of the...
Ujenzi wa Bandari kavu unaendelea kule Kwala, Ruvu. kuna fursa nyingi za Biashara, Viwanda n. k
Kama unaitaji Ardhi kwa ajili ya kununua, au kukodisha ni bora ukawahi sasa. Ziko ekari zaidi ya 30...
Habari za leo waungwana
Naombeni kufahamishwa kuhusu Utaratubu wa Leseni ya biashara mpya. Hasa kwa mimi ambaye tayari nina TIN
ambayo ni nonbussiness. Pia makadirio ya kodi kwa biashara ya mtaji...
Mimi nashindwa kuelewa vyeo vya hawa watu wawili pale Vodacom
theory zangu ni:
1. mmoja anafanya kazi kuliko mwingine
2. huyo asiyefanya kazi ameamua kufanya ile kazi nyingine ya kupiga madili...
Habari za Wakati huu wana na ndugu wa Jamii Forums
Nimekuja kwenu tena nikiwa nahitaji kujua jambo hili
8-12-2016 kampuni ya Tigo Tanzania ilitangaza rasmi kuwasilisha Muhtasari na maombi ya...
Wakuu bila kupoteza muda, wacha niende moja kwa moja kwenye point. Mimi ni kijana ambaye kama vijana wengine na ndoto za kufanikiwa.
Nimeona ni vyema nikapata ushauri kutoka kwenu ndugu zangu...
Wadau Mwenye kujua Tanzania ya VIWANDA imejenga Viwanda vingapi kila Mkoa Atujuze Tuliahidiwa kuwa Kila Mkoa ujenge Viwanda 100 lakini Wahusika Hawatupi Mrejesho hata Hatusikii KUWEKWA Mawe ya...
Habari,
Nipo kwenye process ya interview na Bolt kazi. Nimeulizwa swali nimekosa majibu. Hivi makampuni gani huwa wanatumia hizi huduma na Uber/Bolt Corporate?
Kama una idea tusaidiane.
Wakuu habari!
Natumaini ni wazima na wale ambao wanapitia changamoto mbalimbali za kiafya Mungu awasaidie ili muweze kurejea katika Hali yenu ya kawaida !
Niende moja kwa moja kwenye point yangu...
Msomeni hapa alichosema:
"Vijana wengi tunakimbilia mjini, na takwimu zinaonesha kuwa vijana wengi ambao wapo nje ya Dar es Salaam na matajiri zaidi kuliko waliopo mjini, sio lazima kuja mjini...
Poleni na majukumu, bila shaka mu wazima wa afya na mnaliendeleza gurudumu la maendeleo huko mlipo.
Leo nimekuja hapa kutaka kujifunza kutoka kwenu kuhusu biashara ya madini hususani katika jiji...
Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.
Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa...
Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi.
Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia?
Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya...
Wadau wote mnaohusika na hilo eneo hasa wenye Co. na magari ningefurahi tushirikiane. Nina kazi zinazohitaji matumizi ya hayo magari.
Kwa mahojiano zaidi naomba check DM
Serikali inatumia karibu 1,000,000,000,000/- kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya serikali. Hii ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya watumishi.
Pesa hii sawa na pato ya siku 1 tu kwa kanda ya...
Habari za asubuhi,
Ningependa kujuzwa mmiliki wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa gas mihan gas au kwa jina lingine Taifa gas.
Kuna mtu ananiambia mmiliki ni GSM je ni kweli?