Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania. Benki ya AfDB...
0 Reactions
4 Replies
664 Views
Ndugu wana JF wenzangu natumaini hamjambo. Dhumuni la waraka huu ni kuomba wenye uelewa wa biashara ya export ya maua (dried) Natamani sana kufanya hii biashara sasa naomba kama kuna mwenye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikwazo kikubwa kinachoathiri biashara ya Daladala leo ni njia na usimamizi wa haya magari. Hii inajumuisha wasimamizi yaani TRA & trafiki, Bima etc. Biashara ya Daladala imekuwa moja ya...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Baa ni biashara nzuri sana kama ukipatia soko na upande fulani. Ila biashara ya baa aina tofauti na kubeti sana. Tunaopitapita kwenye mabaa tumeona jinsi baa zilizokufa na kuibuka. Suala la baa...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
2 Reactions
20 Replies
4K Views
"Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6 salute...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Makala hii ilichapisha Mei 18 2022, kwenye gazeti la G.K Huku kukiwa na ongezeko la janga la ukosefu wa ajira huko Jammu na Kashmir, vijana wachache wasomi wasio na ajira wamejitengenezea njia...
1 Reactions
0 Replies
836 Views
Wadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu. Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati. Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Salaam sana wakuu, Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku...
10 Reactions
47 Replies
7K Views
Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wana Jamvi natumai wazima, Ningependa kujua utokaji wa nguo za mtumba za wadada cotton BLOUSE nataka niagize Belo China Grade A ila sijajua kama zinapendwa sana au kama zipo zinazopendwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana JF, salamu zenu. Mie ni kijana nasoma chuo mwaka wa 3 sasa nategemea kumaliza 2013. Nimedhamiria kufungua kampuni mapema kabla ya mwezi wa 6 mwakani. Ninakamilisha uandish wa Memorandum of...
0 Reactions
53 Replies
14K Views
Habarini wana jamii.. Nilikuwa nataka kutembelea Comoro ili nijifunze mahitaji yakule nifaye itafiti kama naweza kuwa na supply biashara kule kisiwani kwao kutokea huku Dar es Salaam. Sasa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba, nilikuwa naomba kufahamishwa faida zake na je, gunia moja la pumba lenye debe saba huwa linauzwa bei gani? Mwenye uzoefu anijuze...
3 Reactions
43 Replies
14K Views
HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
0 Reactions
8 Replies
903 Views
Habari wanajamvi, Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Sio mimi tu, kuna ndugu zangu kama wawili wamesajili kampuni kwa njia ya mtandao, mwingine ofisini aliniambia alisajili jina la biashara, hela amelipia lakini hawafanyii kazi baada ya malipo...
2 Reactions
12 Replies
795 Views
Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…