Habari,
Nataka kuagiza bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k lakini sina kitambulisho chochote kile, ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu.
Sitaki yeyote...
Habari,
Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii.
Ombi langu ni...
Jamani maisha ni magumu kwangu Tu? Au na nyinyi wenzangu.
Maana huu mwaka naona kama nimechaguliwa kuwa wa mfano.
Napiga kazi kama mbwa Ila pesa sina kuzalaulika ndio mwingi.
Khaa eee Mungu...
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.
Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi...
kiwa na bahati ya kuhandika na maandiko yako yakawakamata vizuri watu basi utawachota kweli kweli.
Huyu bwana hapa JF aliwakamata watu sana kipindi cha Forex na mpaka wengine hata umweleweshe...
Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa...
I
Na Mwandishi Maalum
Balozi wa India nchini Tanzania Ndg Binaya Srikanta Pradhan amesema, Waziri wa Elimu nchini India amemualika Waziri wa elimu na mafunzo ya Ufundi nchini Tanzania Prof. Adolf...
Habari zenu wakuu.
Swali langu ni kuhusu hizi ofisi Tanzania. Kwanini pawn shops nchini mwetu hazina umaarufu. Na ni mara chache kuzipata kabisa hata sehemu za mijini.
Shida nini? Mfumo wa...
“If you can trade like a hedge fund without investing in one, you can replicate their big wins without having to pay their huge fees.” – James Altucher
In the first part of the article in this...
Wadau nina shida na hela kama milioni 3 kwaajili ya kuendesha biashara yangu ya kubadilisha fedha za kigeni yani kwacha kuwa tsh nlikua naomb kujua kampuni yenye uwezo wa kunisaidia hiyo hela ila...
NALA PROJECT.
Kwenye Kata ya Nala hususa ni kwenye Barabara ya Mzunguko wa Mashariki inayotoka Morogoro ambayo haiingii katikati ya Mji,barabara ambayo itapitwa na Magari makubwa na Mabasi ya...
Wakuu mwenye kujua bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Julai, sababu mpaka naandika uzi huu saa 11 alfajiri, Jumatano ya kwanza ya mwezi (ambayo ndio siku ya kutangaza), bado.
Nawasilisha
Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote .
Moja kwa moja niende kwenye mada husika .
Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za...
Leo TRA wamepita mitaa ya Manzese na kuwataka wenye maduka bila kujali ukubwa wa duka kuweka EFD machine na kuwalazimisha wafanya biashara kusaini form za kukubali kuweka hizo EFD katika kipindi...
Leo ndio nimefahamu kama pesa ya Ghana Ina thamani kuzidi pesa ya Kenya na Nigeria.
Nadhani hao wanaonekana hapo kwenye 50 Cedis ndio Marais wa Ghana. Ni kwann sasa wameamua kujiweka...