Wakuu tujuzane bei ya viazi ulaya huko katika masoko yenu. Kwa Mtwara bei ni 115000 kwa bei ya jana kwa kiroba ambacho sidhani kama kinafika kilo 100 nahisi 90 kg...sio poa chips kavu 2000.
Wakuu habari zenu.
Tukiwa tunaendelea na mapambano ya maisha. Nimejikusanya, nimepata kiasi Cha 20M, nikiwa na wazo la kuanizsha online TV. Je ni vitu gani muhimu natakiwa kununua na gharama yake...
Wadau nataka kusafirisha mzigo kutoka China mpaka Dar es salaaa, Shipping agent niliyempata gharama zake ni Dola 400 kwa ujazo CBM 1. Kama kuna mwenye gharama nafuu zaidi naomba mawasiliano yao.
Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba.
Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa muda sana hii biashara na kuwauliza wadau mbali mbali.
Kwa bahati mbaya sana nimekuwa nikikutana na watu ambao naweza kusema hawajaijua vizuri hii biashara...
Kwanini Waanzishaji wa Kenya Wanashindwa Licha ya Ufadhili Mkubwa - Insiders
Kuporomoka kwa Kune Food, jiko la wingu lenye makao yake nchini Kenya, chini ya miezi 10 tangu kuzinduliwa, kumezua...
Salaam wanaJF!
Kama "taito" inavyojieleza, naomba kufahamu wapi, namna gani, na kwa bei gani naweza kupata Pool table.
Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba aniongoze. Nipo mkoani.
Wasalaam
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndio uanzishe biashara na ndio sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha, Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu sana katika kuanzisha biashara...
Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji.
Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani.
Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa...
Tanzania tunashukuru Mungu kwa kuingia uchumi wa kati mpaka sasa gunia la viazi wanauza kuanzia 98.000 hadi 110.000
Tatizo ni uzalishaji mdogo kila mtu kawa machinga au tatizo ni madalali...
Naomba kufahamishwa na yeyote anayejua namba ninavyoweza kupata control number Kwa ajili ya kulipa makadirio ya Kodi ya kampuni yangu? Je ni lazima kwenda TRA Kila tarehe inapowadia? Je...
1. Kapata Pesa za Ghafla
Hapa kuna wale wenzangu wa michezo ya bahati na sibu au kuna mirathi,kuuza kitu flani nk nk,hawa watu mara nyingi biashara huiwaza angali ameshika pesa,alikua hana hata...
Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika...
Biashara ndogo ndogo zimekuwa ni mkombozi kwa vijana wengi sana haswa kipindi hiki ambacho ajira ni ngumu kupatikana, biashara ndogo ndogo zinahitaji mtaji mdogo kuanzisha ambapo inakopesheka au...
Kama kichwa kinavyojieleza naomba mwongozo wa upatikansji wa alzeti maeneo ya singida najua humu kuna watu wanafanya hii biashara.
Nilitaka kujua mtaji wa below 3M unatosha kuja nayo huko kama...
Habari ndugu zanguni.
Nina mtaji wa laki 2
Kama kuna mtu anaishi Toangoma tushirikiane, mimi makazi yangu ni Toangoma tufanye biashara ambayo anadhani tunaweza kuifanya vema kwa mtaji huo. Mimi...
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
Baadhi ya vijana wenzangu huwa wananiacha hoi!
Mfano, umenunua bidhaa inayokupa faida ya asilimia 5 ya mtaji, ukiwaambia hiyo ndo faida aiseh, utapondwa balaa basi mimi nauliza je faida huwa ni...