Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naam watu wa nyanda za juu kusini watanielewa zaidi Nadiriki kusema hakuna samaki mtamu kuliko duniani. Yes ndio numekula sangara, sato, kambale, kibua, changu, chuchunge na wemgineo lakini...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali itoe ufafanuzi taratibu za Mtanzania kununua bonds za nchi zingine za EAC na SADC imetuacha gizani Utaratibu ukoje. Mfano nataka kununua bond za Afrika kusini au Kenya nikiwa Tanzania
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha post, mimi ninayo idea na uwezo wa utunzi wa hadithi na mashairi, hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kuweza kuutumia ujuzi huu kwa...
0 Reactions
8 Replies
763 Views
Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mbobezi wa uuzaji chips na jamii ninayo ilenga ni ile ya kipato Cha Kati kushuka chini, Hapa namaanisha nawalenga wateja ambao mlo mmoja wangependa kutumia Kati ya tsh 1000-3500 au 4000...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Here are the 5 worst cities to live in Africa, according to Economist Intelligence Unit report Harare, Zimbabwe and Lagos, Nigeria are some of the cities that ranked poorly in this latest...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Kampuni ya simu ya TECNO imehitimisha rasmi promosheni ya simu ya SPARK 8C baada ya kukabidhi zawadi ya milioni 5 pesa taslimu za kitanzania kwa mshindi anayefahamika kwa jina la Mohammed Khatibu...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Ni mpya kabisa na shida sana ya pesa ni laki 1 na nusu (150,000) pungufu unaongea NISHAUZAAAAAAAAAA
0 Reactions
9 Replies
758 Views
Hello wadau, mazingira nayotaka kuinvest ni miji inayokuwa kwa kasi. Nitafurahi kupata maoni na miongozo yenu kati ya hizi ideas. 1: Nifungue Hardware (nianze na cement, nondo, misumari...
10 Reactions
126 Replies
16K Views
Kabla ya kukipeleka hiki kiasi cha 250K bar au kukihonga, naomba kupatiwa ushauri wa biashara ya kufanya hususan biashara ya chakula ama vitoweo na utaratibu wake, itakayoniwezesha kuvuna mafao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za leo wadau, Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo: Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha...
22 Reactions
150 Replies
24K Views
Nimegundua moja ya jambo muhimu ni kuwa liquid muda wote. Matajiri wenye hela cash muda wote kwenye akaunti wananunua vitu kwa bei ndogo. Juzi Kuna kiwanja kilikuwa kinauzwa zaidi 15M hata Mimi...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada...
5 Reactions
37 Replies
11K Views
Unapochukua control number toka mamlaka au taasisi mbalimbali za kiserikali kwa lengo la kulipia huduma fulani, mara nyingi huwa tunaishia kwa mawakala kwa malipo. Sasa hawa nawakala (wa benki...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Wadau, Kama nikiuza bidhaa zangu, hasa online kwa lipa namba za Mpesa, Tigopesa au whatever, je, VAT au kodi inajikata yenyewe na mimi kubakiwa na changu (kwa maana mtandao wa simu ndio...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona Znzbar hali imeanza kubana kidoogo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
👉Idea debater Ni platform iliyoanzishwa mwaka 2016 marekani 🇱🇷 na Tanzania🇹🇿 imeingiaa hivi Karibuni. 👉 Kuna makampuni Kama Amazon,eBay,shopee na Lazada yanayofanya biashara za bidhaa mbalimbali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Za jioni ndugu jamaa na marafiki. Naomben msaada wenu wakina. Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…