Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Baada ya sintafahamu juu ya zao la ufuta, huku mvutano mkali wa bei kati ya serikali na wakulima ukizidi kupamba moto hatimae maambo ya anza kukaa sawa hivyo wafanya biashara na wakulima wa zao...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 22 nina hitaji kujua kuhusu soko la hisa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekua nikitumia hii app ya kupatana kwa muda Nimekua nikiuza na kununua vitu mbalimbali!! Ila tangu ilivofanyiwa mabadiliko ya app/web sijauzaa hata bidhaa moja hata niweke bei ya chini kuliko...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Maisha yanakwenda kasi mno, speed ambayo hata wewe inafika mahala unakosa utambuzi. Maisha mazuri na bora ndio lengo la kila mmoja hapa kwanzia tukiwa wadogo ndio wiimbo tumesikia mpaka sasa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt. Jinsi inavyofanya kazi. Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE Jinsi ya kupata...
2 Reactions
13 Replies
9K Views
Ndugu zanguni, naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake. Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa, tigo pesa n.k
2 Reactions
71 Replies
27K Views
Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space Je, unafahamu ni nini? Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu, Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu, je ni vyema kusave pesa kwenye saving account yako kwa mfumo wa US Dollar kuliko TZ Shilings. Nina mpango wa kuanza kufanya...
3 Reactions
27 Replies
8K Views
Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?
1 Reactions
3 Replies
531 Views
Utafiti mpya wa "ZenBusiness" umegundua kuwa tasnia zinazowavutia zaidi wajasiriamali hutofautiana baina ya nchi na nchi na hutegemea mambo mbalimbali kama vile miundombinu, mazingira ya biashara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu salam Kuna hii Application mpya imeingia mjini naona watu wanajiunga kwa kasi pia ninasikia wanapiga mno pesa.Kwamba ukiweka milioni moja inaongezeka kwa wastani wa 2.5% kila siku kwa hiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku...
1 Reactions
3 Replies
403 Views
Nahitaji Canon ir2520 mpya au used abroad . Kama unajua Bei au zinakopatikana kwa Mwanza au kahama, naomba msaada wako.
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Mimi sio mtaalamu wa biashara na sitaki kujenga, nataka nipate ushauri wa wapi niwekeze kwa sasa ili nizalishe kupata pesa ya kujikimu bila kuharibu mtaji hadi hapo nitakapopata maarifa bora. Eg...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari ya asbh ndugu zangu, Natafauta mizani za kupimia watu, ningependelea mwenye connection kwa geita au kahama iwe rahisi kwangu. Na bei ningefurahi kuijua Nimeweka picha
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Kichwa cha habari cha husika!!
0 Reactions
7 Replies
680 Views
Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?
2 Reactions
16 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Habari za muda huu watanzania wenzangu Kati ya 1.kufuga ng'ombe wa maziwa na kulima mazao ya bustani pemben yake eg.Hoho,chinese,pilipili etc (location ni pwani au Dar) 2.Kufanya uwakala wa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu mfumo hauna hata miezi 6 na hii taasisi ina watu weledi na wajuzi wengine walipelekwa India kusoma coding na security, lakini tatizo linaanzia wapi hasa ? Kama mfumo ulikua bado haujawa tayari...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…