Wana Jamvi, nimeulizwa hili swali na mtu, nikawa sina uzoefu sana, hasa kiutendaji. huyu mtu anataka kuanzisha biashara, na anataka kufungua kampuni, and at the same time ameshauriwa kuwa its more...
Wadau nadhani mupo powa kabisa... mimi ni mdau wa biashara ya nafaka na leo nataka kushare nanyi kitu katika biashara ya nafaka ambapo hata nyinyi munaweza kufanya na mukapata pesa nzuri tuu, ni...
Wanajamii, wasalaam
Nina ndoto ya kufungua biashara ya sabuni za kufulia kwa maana ya kufungua kiwanda. Kwenye tafiti nilizofanya kwa maana ya mashine/ mtambo toka chini itaigharimu kama milioni...
JINSI YA KUUKARIBISHA UMASKINI
1. ENDEKEZA USINGIZI
Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma.
2. USIPANGILIE MATUMIZI
Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa...
Salaam wana JF,
Naombeni ushauri wa biashara ya kuchana, kusafisha na kuchoronga mbao kwa hapa Dar. Kuna eneo langu lipo center nzuri ya makazi mapya na kutokana na kukosekana kwa kiwanda karibu...
Salaam,
Nimepata wafadhili wa mradi wa kilimo, lengo kuu ni kusaidia wakulima wadogo waweze kujikwamua na kunufaika na kilimo chao.
Sasa nahitajika niwe na NGO ili wafadhili waweze kuleta miundo...
Wakuu biashara ya Forex kwa Tanzania imeshamiri sana kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita. Wengi wameingia katika biashara hii lakini baadhi waliamua kuendelea nayo na wengine wameamua...
Nimejaribu na nimegundua yafwatayo
Uzi
Mchongo upo namna hii, wanadai ni ajira zilizotolewa na kampuni moja hivi ya kimarekani inaitwa ABELL IDEA DEVELOPMENT CORP.
Kwamba, hii kampuni...
Leo katika harakati zangu nimeingia kwenye moneyshop moja ndogo tu Arusha shida yangu ilikuwa ni kufanya miamala kadhaa, nimeingia nikakuta jamaa anapanga vitu nimefika pale hakuna cha karibu wala...
Branding in marketing maana yake ni kutengeneza bidhaa ambayo wateja wanakuja kuizoea.
Psychologically Branding is very important because it’s what your customers become associated with and...
ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI.
Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa...
Wakuu samahani naomba ushauri juu ya kuagiza spare za pikipiki kutoka china, Mungu akipenda mwaka 2022 nataka nifungue duka la jumla la vifaa vya pikipiki, utaratibu wa kuagiza ukoje, masoko...
Habari wakuu!
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya...
Msajili wa makampuni anakusudia kufuta makampuni zaidi ya 5000 yasiyohuisha taarifa zao kwa njia ya mfumo (Brela ORS) ndani ya siku 30 kutoka tarehe ya tangazo.
Kupata orodha ya makampuni yenye...