Rais wetu hapa Tanzania hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta with a signifucant figure ila ana uwezo wa ku-regulate non pricing factors za mafuta.
Bei ya mafuta iko juu globally sio Afrika tu...
1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa.
N.k
2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone
3. Biashara ya vifaa vya electronic...
LATARA wamekuwa na vikwanzo visivyo na maana na zaidi ya yote ni kukwamisha maendelea,
Mfano: umeenda tala umewalipa wamekubali umeenda tala (tanapa) mumeshea kulipa dola mia tano wamekubali njoo...
Mjini shule hasa dar
Hakii dar watu wanapenda shortcut sio wanawake sio wanaume.
Kuna hawa wadada wanapenda kujipost insta huko wanajifanya wana mabusiness ya hatari
Wanasema uwaagize chochote...
Wana JF,
Wenzangu yawezekana tupo tunaendelea na maisha yetu ya kawaida ila kwa jinsi mimi nionavyo kuna tatizo zito kwenye uchumi wa Dunia na kwa hatua tatizo hili lilipofikia kuna uwezekano wa...
Habari,
Leo napenda nitoe maoni yangu kwenye huduma ya lipa kwa simu upande wa tigo pesa na m-pesa.
Wafanye maboresho kidogo kwenye upande wa kuhamisha pesa kutoka kwenye lipa ya Tigo au M Pesa...
Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya Mtwara. Hivi kama nchi tunafaidikaje nayo? Kwani sisikii ikitajwa popote kama vyanzo vya mapato wala faida iliyopatikana tangu uchimbaji uanze
Sent from my...
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi GM Business Develepment Consult ltd watakupatia jibu
Kwa wale tayari wapo...
Ni kama kuna Watu wana nufaika na huu ugumu.
Mazingira au urahisi wa kufanya Biashara Tanzania bado changamoto ni nyingi sana, na nashindwa kuelewa je bado tunahitaj kwa hisani ya Watu wa...
Katika Makala haya tuifananishe nchi yetu na majirani zetu kwenye upatikanaji wa ajira na ukuzaji wa uchumi. Viko vitu vingi vya kuzunguza lakini kwa taarifa iliyopo naweza zungumzia upatikanaji...
Matatizo mengi ya ugumu wa kufanya biashara Tanzania yanasababishwa na tamaa za serikali za pesa za haraka. Kufungua LLC company Tanzania ni 600,000 ili uweze kufanya biashara kama kampuni sio...
Habari wana Jf.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Wangapi wamefika soko kuu la ilala? Na kama ulibahatika kufika hali yake ikoje? Kiukwel ni aibu kwa taifa letu soko chafu na matope hakuna.
Kuna...
Mwezi wa kwanza niliwahi nunua tani 2 kwa hao hao wauzaji wa mchele ila sikugundua maana nilivyoufikisha stoo vijana waliwahi kuuweka kwenye mifuko ya kinga njaa kwahiyo sikupata nafasi ya kupima...
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie.
Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba...
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie.
Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba...
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado...