Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile. Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa...
35 Reactions
325 Replies
15K Views
The recent strengthening of the Tanzanian Shilling (TZS) against the US Dollar (USD) may have been a short-lived one, potentially qualifying as a “wool fire” (a brief, unsustained event) rather...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Wadau natamani kuwekeza kwenye kilimo cha ufugaji nyuki na kufa ya baishara ya Asalia nchini Tanzania. Ningependa kujua taarifa za kuasidia kujua hali ya biashara na ili mtu afanikiwe ni mambo...
2 Reactions
10 Replies
716 Views
Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili...
4 Reactions
2 Replies
221 Views
Good evening wadau, Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20. Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na...
14 Reactions
187 Replies
25K Views
Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Ndio msaada wa jambo Hilo sihitaji kusafiri kwenda huko ikiwa Kuna mbadala tujuzane
1 Reactions
10 Replies
302 Views
Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara...
45 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Nina mtaji wa million mbili (2m), nimekuja kwenu kama wana jamii nikihitaji mawazo bora ya ujasiliamali kwa mikoa ya Mwanza, Dodoma na Dar es salaam. Mikoa hii nimeichangua nikiwa na...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
The question of whether a nation heavily reliant on external aid (“beggar nation”) can graduate from such dependency is complex. It requires a multi-dimensional analysis incorporating economic...
0 Reactions
2 Replies
190 Views
Benki ya Standard Chartered na Access Bank Plc zimefikia makubaliano ya uuzaji wa hisa za Standard Chartered katika kampuni tanzu nchini Angola, Cameroon, Gambia na Sierra Leone, pamoja na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto...
0 Reactions
26 Replies
904 Views
Wakuu Narudi hapa jungu kuu kuwaswalika kama mtu wa bara anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar kama inavyowezekana kwa mzanzibar kumiliki ardhi bara?
1 Reactions
11 Replies
312 Views
SERIKALI YABAINISHA MIKAKATI YA KUREJESHA HADHI YA MADINI YA TANZANITE -Waziri Mavunde azindua mnada wa ndani Mirerani. - Minada ya ndani na nje ya nchi kutumika kutangaza madini ya vito...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni...
0 Reactions
3 Replies
202 Views
Naomba kuuliza jamn wafanyabiashara wenzangu JF, Hivi ukishakadiria kodi pale TRA na ukapewa na control namba ulipe labda awamu tatu ya mwisho wa mwezi. Sasa mfano mwisho wa mwezi umefika umelipa...
1 Reactions
5 Replies
386 Views
Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
1 Reactions
3 Replies
527 Views
Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji. Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo...
1 Reactions
0 Replies
174 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…