Habrin wanajf,
Swali langu ni kama hivo lilivyo naomba tujuzane kwa mwenye uelewa.
ZINGATIENI NATAKA KUFUNGUA DUKA LA NAFAKA.
Kwa hizo location ipi itafit hapo
Mambo vipi wakuu.
Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako.
Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30.
Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo...
Kwa sasa makazi yangu ni Iringa mjini hapa Kihesa. Shughuli niliyokua nafanya kwa kiasi kikubwa inategemea jua kuwaka mchana na sasa ni kipindi cha mvua ivyo kazi haifanyiki
Kwa wajanja janja wa...
PRICE: 10000/-
JIPATIE SAA ZA KISASA ZA WATOTO
NZURI KWA WATOTO WA KINDERGATEN MPAKA PRIMARY
ZINATUMIA BATTERY
BATTERY YAKE HUDUMU ZAID YA MWAKA
📍MANZESE, TIPTOP
☎️0753409810 ( whatsapp)
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu
Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali
Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida...
Habarini wakuu, tafadhali aliyeelewa hapa anifafanulie kwenye huo ukokotoaji ulivyofanyika hapo sababu mimi nikipiga hesabu zangu kwa uwekezaji wa Tsh. 500,000 kwa mwezi, manake kwa mwaka ni...
The popularity of the international forex market has made it the largest financial market in the world. According to a 2019 BIS report, the daily volume of forex traded amounts to $6.6 trillion...
Wakuu
Hapa katikati dola ilipaa sana na hata Rais Samia alikiri wazi kuwa shilingi imeadimika wakatika wa msiba wa Lawrence Mafuru
==
"Miezi michache iliyopita kuanzia mwezi wa pili mpaka wa...
Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa...
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo juu, natafuta mtu ambayo tunaweza kuchanga vifaa tufungue ofisi ya game (playstation) mimi ntachangia tv 2 na cpu 1, na vifaa vngne vyote vya ndani ofsini...
Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande...
CRDB YAFUNGUA TAWI LAKE MUSOMA VIJIJINI
Mgeni Rasmi:
Ndugu Gerald Musabila Kusaya
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Mahali:
Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango
Leo, Alhamisi, 19.12.2024 Benki ya CRDB...
Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako.
Pesa ni kitu chenye thamani kubwa kwenye maisha ya sasa.
Bila ya pesa kwa maisha ya sasa ni majanga mazito sana.
Unaweza ukakosa vitu vyote vizuri...
Habari za muda viongozi.
Ningependa kupewa dodoso juu ya biashara hii ya vinyozi.
Nahitaji kujua kiwango cha chini cha gharama ya kuanzisha huu mradi, kwa sababu nataka nimfungulie kijana ambae...
Price:18,000/-
KAZI ZAKE
Inakusaidia kukupa hewa safi wakati wa mazoezi (gym)
Hukuepusha na joto kali wakati wa kupika
Hukupa utulivu wakati wa kusoma kwa hewa safi.
Tupigie au whatsup...