Wakuu naomba mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kutoka Nigeria anisaidie kampuni inayosafirisha na gharama ni kiasi gani Kwa normal goods.
Natanguliza shukurani 🙏
Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani.
Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana.
Huu ni mmoja wapo.
KUGONGA KOKOTO...
Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna...
Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end...
Fashion Black Cuban Chain Bracelet
Elevate Your Style with the Fashion Black Cuban Chain Bracelet
Buy: Here
Introduction
Are you on the hunt for a stylish accessory that speaks volumes about your...
Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake.
na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya...
Hizi ndiyo kampuni 5 bora (zilizo orodheshwa katika Soko la hisa DSE) zilizo fanya vizuri kwa mwaka 2022...
5.TCC - Tanzania cigarette company
Iliweza kujipatia faida ya tsh.billion 69,ambazo...
Wakuu habari,
Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe.
Mfano, nimeona kuna app ya ebay na...
Wakuu habari,
Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila...
Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara.
Sijajua...
Habari wanajamvi,
Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako.
Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha...
Wakuu ingawa sa100 yupo radhi hata kupiga wananchi wake ili apige minada mbuga zetu Kwa mwarabu
Ila mimi nimefikiri kitu tofauti kidogo. Katika harakati zangu hapa chini ya jua kuhusu animation...
Habari zenu wanajamvi,
Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao (cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda...
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.
Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa...
INTRODUCTION:-
Mpo raia wotee hasa chama langu la KATAA NDOA??
Mmejiandaaje na 23/09 THE REVOLUTION DAY??
BODY:-
Anyway; turudi kwenye mada.
Ukitoa hizi harakati za ""KATAA NDOA"" mimi bana ni...
KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na...
Habari wakuu. Kama kuna mtu ana uzoefu wa kununua bidhaa Alibaba huwa ukishamalizana na muuzaji anakuomba adress ya agent ambaye atakusafirishia mzigo wako kutoka China hadi Bongo.. Kwa uzoefu...
Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za...