Habari wana JF,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo...
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia...
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia...
Nikiingia mtandaoni nasoma kwamba Tanzania inauza nje ya nchi mazao ya kilimo kama vile mahindi, mchele, maharage, viazi n.k kwa matani na matani. Mtanisamehe kwa unyenyekevu wangu na uwazi wangu...
Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ?
Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi...
Habari
Kwa anayejua haya makampuni msaada wa kushare contacts,
Mfano kuchukua wafanyakazi kila siku kuwarudisha majumbani na muda mwengine kuwaleta kazini, coaster au aina nyingine ya magari yote...
Aslaam,
Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo...
Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo .
Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia...
Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk.
Naomba mawazo...
Tunaamini ukila ukashiba na akili inalala,, Kama elimu yako ndogo, masikini na matapeli ndo hawatowaelewa hawa watu ukitaka jua sifa ya mtu hohehahe ni kuwachukia hawa jamaa.
Wakati najitafuta...
Yaani uchimbaji na uhunzi wa madini ya chuma leo 2024 ambapo wenzetu wanafikiria akili mnemba(AI) umeshindikana Mpaka mmetafuta kampuni ya kichina. Kwamba mmeshindwa kuwapa motisha kampuni za...
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani.
Kutoka 2800 hadi 2300
Kwa hili twakushukuru Rais Samia
1USD= 2375 TSH
👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo
👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo...
Habari!
Nadhani watu wengi mmeshawahi kuskia watu kadha wa kadha wakisema ya kwamba dunia inaendeshwa ki mfumo, ila pia mlio wengi huwa hampati nafasi ya kuuliza watu hao wanaosema hivyo...
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine...
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu.
Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa...
Habari,
Naomba kujua naweza kufanya nini ili niweze kuwa agent wa kupokea mizigo ya AliExpress na Alibaba?
Vigezo ni vipi hasa? Na naweza kujisajili vipi? Na nitakuwa nalipwaje? Kwa maana hii...