Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari naomba mwenye uzoefu na biashara yaa kununua mazao na kuweka ghalani kisha kuuza baada ya msimu wa mavuno kuisha anishauri
1 Reactions
10 Replies
518 Views
Kuna maeneo ukianza kufanya biashara uwe na moyo mkuu aisee. ✍️
3 Reactions
2 Replies
260 Views
1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu...
11 Reactions
7 Replies
599 Views
Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni...
3 Reactions
17 Replies
663 Views
Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka hapa jijini Dar es Salaam. Sio mgeni katika kufanya biashara ila naweza sema ni mgeni katika kufanya biashara ya kwangu. Kwa sababu hapo awalii nilikuwa nafanya...
18 Reactions
114 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝 Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza...
9 Reactions
116 Replies
4K Views
Wakuu nimefukuzwa kazi Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
16 Reactions
209 Replies
6K Views
Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi 🤔
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Salamu kwenu, Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni. Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
0 Reactions
5 Replies
631 Views
Nataka niweke pesa m pawa be nitapata riba asilimia ngapi Kwa mwaka na je pesa ya riba napata Kila mwezi
1 Reactions
7 Replies
533 Views
Habari wadau wa JF kama mada inayojieleza hapo.. Natamani kuanza huu biashara kwa wenye uzoefu nayo nipeni ushauri nini vya kuzingatia
0 Reactions
3 Replies
307 Views
Habari!! Jamii forum. Naomba kufahamu kama dodoma kuna ofisi za taasisi ya masoko ya hisa CAPITAL MARKETS AND SECURITIES AUTHORITY (CMSA). Je, kama zipo zitakuwa maeneo gani?🙏
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza... Jibu haya maswali au angalia majibu ya haya maswali kutoka kwa wachangiaji alafu ndo ujiulize je unaweza biashara au upo hapa kufata...
9 Reactions
27 Replies
796 Views
Naomba kwanza niliweke wazi jambo hili kwamba … Kama kweli upo serious na Biashara yako, basi mambo yafuatayo hutoyaona kama ni Gharama bali ni Uwekezaji. Sasa ntajaribu kuelekeza kwa ufupi...
17 Reactions
46 Replies
12K Views
Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa (wapili kushoto) akiwa na tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2024 ambayo benki hiyo...
2 Reactions
1 Replies
270 Views
The challenge is that companies are not accessing the forex they require for the importation of raw materials.This is basically the mismatch between the forex and available supply on the formal...
0 Reactions
8 Replies
448 Views
Leonilienda siko la Buguruni nilichokutana nacho. Nyanya kisado 2500 Nyanyachungu fungu la 2000 hubebi. Viazi mviringo kindoo kidogo 3000 Mchele 1800. Vitunguu vya 2000 huwezi kubeba Dkt...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia...
11 Reactions
56 Replies
11K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BIASHARA HII Nataka kufanya biashara ya juice,hii ya kutengeneza,matunda ya embe na nanasi,nawapa wadada wanaenda kuuza maeneo kama masokoni na...
4 Reactions
132 Replies
123K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…