Nasikitika kwamba mpaka sasa tulivyoambiwa Tanzania imejiunga na mtandao wa Fibre Optic kwa ajili ya mawasiliano ya kimataifa ya internet n.k bado huduma ya kampuni ya TTCL ni duni sana.
Mtandao...
Hivi nani wanahusika kwenye kuua TTCL mpaka sasa shirika hali perform kabisa. Kama TTCL wangekuwa na watendaji waadilifu na innovative leo hii TTCL ingekuwa the leading comm PLC kwani wana...
Habari nilizozipata toka kwa mnyetishaji muhimu wizarani, sasa AIRTEL wamekubali kimsingi kuiachia 35% ambayo ni hisa alizokuwa anamiliki ndani ya TTCL.
Wameinyonya kampuni ya simu ya Watanzania...
SHIRIKA la Mawasiliano Nchini (TTCL) katika kipindi cha siku 30 limeweza kusajili wateja wapya 215,000, ikiwa ni Mpango Mkakati wa Shirika hilo katika kujiinua kibiashara na kuongeza wigo huduma...
WanaJF,
Naombeni msaada Kwa yeyote anayejua kampuni au mtu bnafsi anayeweza kunipa mkopo wa Haraka wa kiasi kilichotajwa hapo juu, atakuwa amenisaidia.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie...
Wakuu habarini.
Tafadhali naomba msaada kwa anae jua bei zilizopo sasa hivi sokoni za mahindi ni shilingi ngapi anisaidie kujua haraka iwezekanavyo.
Ni kwa ajuae bei za Kigoma na DSM
Ahsanteni!
Ndugu zangu naitwa Rama naishi Temeke Dar es Salaam nilikua naomba kuuliza kwa yeyote ambae anaweza jua mahali ambapo madumu yenye rangi nyeupe na yenye ujazo wa litre 30
Yanaweza kupatikana...
Naomba nipate mtu anayesafirisha biashara yeyote kutoka bara kwenda huko Pemba, Unguja Mafia na sehemu zingine za visiwa kupitia bagamoyo, Dar au Tanga.
Lengo ni kutaka kujifunza jinsi ya...
Poultry is the general term for anything concerning domestic birds and they can be reared on a large scale or small scale depending on the amount of money you have, but for the sake of this...
Habari zenu wapendwa, mimi hua natamani sana kuagiza bidhaa china kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwa mfano nahitaji hizi vinyl wallpaper ili nibandike ktk makabati ya jikoni hapa Dar ni bei juu...
habari za jioni,
ninaimani mu wazima na mmeaheherekea eid vizuri,
wadau naomba mnifahamishe gharama ya frame za biashara kariakoo au sehemu karibu na kariakoo.
Habari.
Rejea kichwa cha habari, unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa.
Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki.
Unarejeshwa na riba ya 5%
You give me 500k..I give back 525,000...
Unajua kuna sehemu hapa Duniani kuna mzungu au mtu kutoka taifa lolote anataka kujua kiswahili mbali na kuwa na access ya kujifunza kiswahili lakini anakuwa more exceted kumpata mtu atakae ongea...