Ijumaa Karim ndugu zangu Watanzania.
Tanzania kupitia bandari ya Dar kwa sasa imevutia kupitisha mizigo mingi hasa toka Burundi kwa ku-charge bei ambayo wateja wanaweza kumudu. Kwa mujibu wa...
Habaaari
Ijumaa vijana mbalimbali walikuwa wakitoa mawazo yao mbalimbali ya teknolojia kwa ajili ya kutengeneza Tanzania ya teknolojia
Tafadhali pitia mawazo yao hapa na biashara zao, then...
Je, wewe ni mfanyabiashara unayependa kuitangaza biashara yako na kuvutia wateja wako?
Je, unaweza kumuelezea mteja wako ndani ya sekunde 5 kuhusu biashara yako na akakuelewa bila maswali yoyote...
Baada ya kusoma kwa kuunga unga kwa msaada wa ndugu jamaa na marafiki nilifanikiwa kufaulu chuo kikuu na kumaliza kwa grade nzuri by then kazi enzi za mkapa zilikuwa bwerere, nikakamatia kazi...
Kwema wajumbe?
Kama kawaida miji ina tabia ya kukua na kufifia, mfano mji wa Bagamoyo na kilwa kwa miaka ya kuanzia 1800 ndio ilikuwa miji Mikubwa kibiashara kwa Africa mashariki na pwani yote ya...
Ndugu wana JF,
Katika harakati zangu za utafutaji nimepata kama 7 million, nikafikiria biashara ya kifanya nikapata wazo la biashara ya UPAKAJI RANGI MAGARI.
Naomba kupata gharama wa hii...
Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia...
Biashara niifanyayo sasa iko vizuri tu kiasi nnaweza kuweka akiba ya kutosha
Sasa nipo njiapanda hatua ipi ifuate?
1. Ninawaza kuanza ujenzi kwa hatua...!!msingi...kati kisha kupaua
2. Nifungue...
Ukosefu wa Uaminifu katika Biashara ndiyo tatizo kubwa sana linalo gharimu sana katika biashara, Biashara nyingi sana zimekufa kutokana tatizo hili.
Uaminifu unamaana kubwa sana ktk nyanja hii...
Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo kwa hapa Dar es Salaam. Je, nifanye nini kwanza cha msingi?
Mchango wa mdau
Kila la kheri.
Anza na nguo za kike..tembelea vyuoni na...
Wadau napenda kuuliza hivi nikifungua biashara ya huduma ya uwakala wa kutuma miamala na ofisi yangu ikawa na huduma hizi kwa makadirio ya chini naweza pata bei gani kwa mwezi?
Tigopesa
Mpesa...
Habari Tanzania !
Naomba kutoa ushauri, mawazo na mchango wangu kwa wale wote wapenda mazingira mazuri, afya ya mwili na maisha, ubora wa ardhi na maendeleo kwa taifa.
1. Vifungashio vya...
Aug 5 (Reuters) – Gold extended its rally above the key $2,000 an ounce level on Wednesday, hitting a fresh record high as a weakening dollar and falling returns on U.S. bonds added fuel to a...
Habari za wakati huu?
Kuna mambo mengi sana ambayo mtu anaweza kuyafanya katika maisha yake hapa duniani, lakini hata kama utayafanya yote ila usipofanya jambo moja tu basi hakuna umuhimu wa wewe...
Wakuu nawasalim kwa jina lipitalo majina yote.
Kama kichwa cha habari kinavyosema naombeni mchanganuo wenu kati ya bajaji ya abiria na bajaji ya mizigo ipi inafaida kubwa na ipi yenye ubora...
Nataka kuanza biashara ya kuuza tube za magari. Naombeni ushauri, changamoto na size za tube ambazo zinatoka haraka kwa wale wenye uzoefu na hii biashara. Pamoja na utokaji wake dukani...
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica...
Habari zenu wakubwa,leo tena kijana wenu nimekuja mbele yenu naomba ushauri kwa mtu ambae anauzoefu na hii biashara ya online (kutangaza na kuuza bidhaa mitandaoni ), kwani nimekuwa nikivutiwa...
Ndugu zangu naomba msaada:
1. Jinsi ya kufungua online TV
2. Jinsi ya kupata pesa kupitia Online TV
3. Ni aina gani ya vifaa vizuri vya kutumia na wingi wake.
4. Ni aina gani ya watu wakuendesha...