Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu kwema? Nina mpango wa kufungua akaunti kwenye kampuni tajwa hapo juu. Lengo ni kuweza kubet makampuni ya kubet ya nje. Nina sababu fulani muhimu za kuchagua makampuni hayo ya kubet. Kuna...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu Nisiwachoshe kuna gari hapa mjini Iringa Voxy noah. Inaweza kufanyiwa shughuli gani ya kuingiza kipato ukiacha kupakia abiria.. Napokea mawazo yenu wakuu.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo yakwamba nahitaji mtu uelewa wa hayo mambo ya money transfer ambae atanieleza step by step ni jinsi gani naweza kuwa wakala wa mtaani kwenye fremu tu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu! Nataka kumnunulia my wife usafiri kwa mwonekano, bei, na specifications tumeipenda Toyota Funcargo. Sasa naomba ushauri juu ya uimara na upatikanaji wa spare.
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari wanaJF, mimi ni mfanyakazi private nimeajiriwa nina miaka miwili kazini baada ya kufanya kazi kwa miaka hiyo miwili nimepata wazo la kuanza kuuza magari yaliyotumika lakini kiukweli sijajua...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu ninataka nikasomee kozi mojawapo kati ya hizo either banking and finance or accounting and finance, ushauri wenu kwenye upande wa ajira/kujiajiri. Nitashukuru sana...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Business Digitalization Solution tumekuwa kwa zaidi ya miaka minne tukiwasaidia wajasiriamali wadogo kukua, yaani kutoka hatua ya mjasiriamali mmoja hadi kuwa kampuni ndogo inayotambulika. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Tayari CRDB wamepunguza riba yao ya mikopo Mpaka 14% ila naona NMB mpo kimya tu as if nothing happened. Acheni Roho mbaya kama baba yenu...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
SIRI 21 ZA MAFANIKIO ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA WENYEWE (TAFSIRI YA KITABU: THE 21 SECRETS OF THE SELF-MADE MILLIONAIRES: By BRIAN TRACY). ******************** SIRI NAMBA 1: KUWA NA NDOTO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu mwanadada licha ya kujulikana kama mpambanaji dhidi ya unyanyasaji wa wanawake nchini Tanzania, pia amekuwa ni mwanamke anayepnda sana kufanya shughuli zinazomiwezesha kujitegemea kiuchumi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa ni Bank ipi haina makato katika kutoa pesa ATM, na makato madogo katika kuhamisha pesa kwenda Mpesa au Tigo pesa.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ninataka kuagiza magari kutoka Japan na kwingineko, kwa ajili ya biashara hapa Tanzania. Nimejaribu kupata data ,ili kuweza kugundua namna ya kuweza kukadiria, kiwango cha ushuru unaoweza kulipwa...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Tunaishi kwenye dunia ya utandawazi. Mara nyingi nyumbani hatuna kazi nyingi kila siku. Tulilazimika kuajiri wasaidizi na kuishi nao kwasababu za kiulinzi na usalama. Sikuhizi apartments nyingi...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari mdau, Nahitaji mdau mwenye Uber/Bolt account ambayo iko active ili nisogeze maisha. Shukrani. Unaweza nicheki direct 0627170013
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Greetings! Leo nataka nitumie post hii kuwafumbua macho watu waone kwa uwazi kabisa nafasi hii kubwa Internet imetoa kwa yeyote yule Kutengeneza side income na hata baadaye kuwa main business...
10 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu. Natumaini wazima humu wote hebu tusaidiane mawazo wakuu mimi ni muajiriwa takribani 10 years kwa wahindi nimejitahidi nimebana kahela kangu nikafungua kaduka ka chakula kama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NBP nisehemu sahihi unapoweza kupata huduma bora na zauhakika juu ya uendeshaji na usimamizi bora wa biashara yako kupitia ushauri na uandaaji wa maandiko mbalimbali ya kibiashara. Lengo letu kuu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mtaji wa Tsh. milioni moja na Laki 5, nimeamua kuhamia Tunduma ila sijahamisha vimiradi vyangu vidogo vidogo nlivyoanzisha nilipokuwa. Napenda kujua Fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UTANGULIZI Kutokana na kukua kwa tatizo kubwa la ajira miongoni mwa vijana na familia nyingi duniani, imepelekea watu kuchanganyikiwa ni nini cha kufanya. Watu wote siku hizi wanahaha kutafuta...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…