Habari wanajamvi,
natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno.
Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki...
Wakubwa mtu akipata deal la laki 3 Dar es salaam, ni kama mpya hajawahi fika na hana sehemu yeyote ya kufikia. Kwa mshahara wa laki 3 anaweza Toboa Dar?
Imekua nikama uvivu ama kutojitambua kwa watu wengi juu ya kuwa na wazo la biashara lakini kuianzisha biashara yenyewe inakua mthihani kweli kweli na hii kasumba sijui ni kwa biashara kubwa tu au...
Kuna wimbi kubwa la usambazwaji na uuzwaji wa vinywaji feki vya Highlife katika maeneo mbalimbali ya mji wa moshi unaofanywa na wafanyabiashara wasiowaaminifu.
Hatua hiyo inatishia uzalishaji na...
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance...
Amani iwe nanyi,
Nahitaji kufungua duka la vitu vitamu tu kama Candy, Chocolate, Chewing gums, nakadhalika,
Naomba kujuzwa wapi napata vitu hivyo kwa jumla jijini Dar es salaam?
Natanguliza...
Tuzo ya Fagus Rick’s Bank ya Sayansi ya Uchumi kwa heshima ya Alfred Nobel, ambayo mara nyingi huchukuliwa kuwa Tuzo ya Nobel ya Uchumi, hutolewa kila mwaka kwa wachumi waliotoa mchango mkubwa...
Juzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara.
Ila comment na ushauri mwingi kutoka...
Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi
Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo...
Kama una wazo la biashara na unahitaji pesa (mtaji), andika kwenye sehemu ya comment kwa ufupi na kwa namna ya kuvutia!
Kama una pesa (mtaji) lakini huna wazo (idea), tafadhali tuma ujumbe (PM)...
Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo
Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia...
Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha...
Habari
Nataka kuanzisha brand yangu ya mavazi hususani t-shirt kama ilivyo Kwa jux African boy, au bdozen born to shine, Kwa mwenye uzoefu na hii industry anaweza kunipa ABC mfano uagizaji wa...
Tushirikiane tuweke orodha ndefu ya aina za viwanda vidogo ambavyo mtu anaweza kuanzisha katika jamii yake, mkoa wake au nchini kwa ujumla. Tuwe serious;
1. Toothpick industry
2. Take away plates...
wadau naompango wa kuanzisha kiwanda kidogo cha maji ya kunywa huku mikoa ya kusini,naulizka ule mtambo wa kuchemsha na kuchuja maji pamoja na kuyafunga kwenye makopo unauzwa wapi na unaweza kuwa...