Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa wenye uelewa wa hii biashara naombeni inputs zenu. Nataka kuanza kwa kununua nyama kwa bei ya jumla machinjioni halafu nauza kwa bucha yangu. Baadae niweze kujitanua niweze nunua ng'ombe...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Kwenye Digital Marketing kuna Elements nyingi kama SEO,content Marketing, Design, Copywriting Nk. Lakini Moja kati ya Elements muhimu sana za Digital Marketing ni copywriting. •Miaka ya nyuma...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau naomba nijue gharama za matangazo ya radio na Tv mfano dk 30 au mubashara gharama zikoje? Ufafanuzi tafadhari wadau.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Ndogo na za kati. Ni dhahiri kuwa mama ndiye nayeumia zaidi pale familia inapokuwa na uchumi mbaya. Mama hapendi kuona watoto wanakosa mahitaji yao ya msingi kama vile chakula, mavazi, elimu...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Amani ya mwenyezi Mungu iwe pamoja nanyi popote pale mlipo. Mimi nikijana nilitoka nyumbani Tanzanai miaka 3 iliopita kuja huku nilipo South Africa, kwa lengo lakusaka maisha. Kutokana na hali...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jaman naomba kufahamu napaswa kuwa na mtaji kiasi gani niweze kuanzisha saloon hii naomba jamani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
5K Views
The character they say is a woman's beauty, and money is a man's beauty which is why every man wants success and a luxurious lifestyle. Besides, few are prepared to go through the right part of...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Jina langu haimaanishi najua kila kitu ila ni ndoto yangu kuwa a great grapher but nataka kuulza hivi kuanzisha photo studio ikiwemo kupata camera nzuri ya kuanzia kazi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri...
7 Reactions
17 Replies
9K Views
Pesa inakupa heshima na jina vile vile, lakini pesa hiyo hiyo inaweza kukupa fedhea na kukuzaraulisha bila kujali wadhifa wako, umri, busara zako na elimu yako. Watu wengi wanaeza uliza kivipi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ndiyo mgeni umefika Kariakoo mara ya kwanza kuna kale ka hofu sijui nitatapeliwa, Mi mara ya kwanza naenda Kariakoo nilikua natafuta simu nikawa naulizia simu kwenye duka Fulani hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau, Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara,Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari. Naomba kujua kwa wenye uzoefu na...
0 Reactions
27 Replies
29K Views
Njoo tushirikiane kibiashara zaidi ,uwe tayari kuchukua hatari (kulipa gharama ya mafanikio unayoyatamani). Naamini watu wengi wana mawazo ya biashara ila hawana mitaji,naamini Watu wana fedha za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wapendwa poleni na majukumu. Mimi nikijana mjasiriamali na nimekua nikipita kwenye supermarket nyingi kuangalia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, na mojawapo niliyo kutananayo ni Maziwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza Flana na kofia (sare) za chama kama vile CCM na CHADEMA na ACT wazalendo kwenye mikutano Yao. Je Kuna yoyote mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salaam! Naomba kufahamishwa mahali ambapo naweza pata duka la jumla la spea za bajaji aina ya TVS King kwa hapa Dar es salaam. Natanguliza shukran zangu.
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Greetings brothers and sisters. Leo kama kawaida nipo hapa nataka nikupatie darasa jinsi unavyoweza tengeneza $300+ kwa mwezi katika online platform ya UpWork ukiwa hapa Tanzania. Haijalishi upo...
13 Reactions
32 Replies
6K Views
Ni nani aliwahi kufungua account ya paypal labda Kenya halafu hela ikaingia wakaihold? Na je alifanikiwa kuifungua au ndiyo alikubali pesa ipokee kwakushindwa verify identity na documentations...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Salam wana jukwaa. Kodi ilivyokadiriwa kwenye gari aina ya Subaru Exiga ya mwaka 2008, ambapo ushuru wa garii hii unasomeka kama Tsh 21,000,000 wakati Valuation iliyotumika kwenye kupata ushuru...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…