Money, the bone of contention. The reason behind everyday struggle. Acquisition and accumulation of wealth make people sacrifice years of their life to go to school or learn a trade.
Money, the...
Natanguliza salamu wana JF.
Kichwa kinajieleza ningeomba kufaham kwa ufupi kwa wale wazoefu, wabobezi na wanaofanya pia biashara za nguo za mitumba hasa kwenye minada mikubwa shida yang napenda...
Poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kuna bidhaa nimeziona kwenye mitandao zainauzwa Zanzibar na watu wa bara wanaziagiza. Tafadhali naomba kujua kama kuna mtu anajua unafuu wa bidhaa za...
Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika
1; Shoe care, hi inajumuisha...
Anaandika SJ
Hawa waliobahatika kufanikiwa ktk biashara kitu peace walichotuambia ni kuwa "ukiingia ktk biashara utafanikiwa Sana na hautakua na boss".
Hawakutuambia kuwa tutafanya kazi Mara 5...
Hello wana JF.
Mwenye kuwa na utaalamu/ujuzi kuhusu biashara ya spea za pikipiki anipatie maelezo au idea kidogo labda mtaji kama kiasi gani?
Changamoto zake na faida zake.
Wale tunaodanga na bidhaa za wachina ili tupumue mjini na wale ambao mnataka kufanya biashara naomba tushauriane hapa ili kuepuka kulizwa na wachina jueni hakuna hela rahisi mjini
Maoni yangu...
Habari za majukumu wana Jf.
Nimeona nitumie muda wangu kuandika hii nyuzi kusisitizia juu ya umuhimu wa Paypal kwa maisha yetu watanzania.
Kwa sasa Tanzania tunaweza kutuma pesa tuu hatuwezi...
Habari,
Leo naomba tushirikiane katika kuchangia mawazo ya biashara na ujasiliamali pamoja na michanganuo ya gharama. Hapa lipatikane jibu la swali hili ""Nina laki 2, laki 5, milioni 1, milioni...
Habari za Wakati huu:
Kama ilivyo ada sisi watazam fursa huwa tunaangalia ni namna gani tunaweza kutoa huduma tofauti kwa watu tofauti.
Masoko Consultants Tunakuletea huduma adhimu na ya kipekee...
Ship Chartering ni biashara ya ukodishaji meli baina ya mmiliki na mkodishaji kwa makubaliano maalumu.Charterer huyu ni mtu ambaye anaenda kukodisha meli.Charter Party huu ni mkataba wa...
TABIA TANO ZA WATU WALIOFANIKIWA SANA
Na MIKAEL AWEDA
Kwenye maisha unavuna ulichopanda. Kwa hiyo, ukitaka kuwa na afya njema lazima (panda)wekeza kwenye mazoezi. Ukitaka ndoa nzuri panda...
Hii kampuni ya Tanzania oxygen Tol Gas hakika imekua pasua kichwa kwa wanahisa wake.
Ndio ya kwanza kuingia soko la hisa Dar es salaam ila hawajawahi kutoa gawio tangu wameingia soko la hisa...
Wakuu kwema?
Nimerudi tena kwa milion 4 na laki tano ninunue bodaboda mbili moja niendeshe mwenyewe nyingine nimpe mtu aendeshe kwa makubaliano au nifanye finishing ya nyumba yangu, najua humu...
Wadau heshima kwenu. Nimepata interest ya kuanzisha kampuni ya udalali au kama inavyojulikana dalali wa mahakama.
Naomba kufahamishwa hatua mbalimbali za kufata ili nitambulike kisheria...
Wana JF.
Najua naweza pata msaada hapa. Naomba kwa mwenye uelewa wa namna hawa Silent Ocean wanavyofanya kazi.
Je, wanaweza kunisafirishia mzigo kutoka China bila mimi kwenda huko?
Asante wote...
Leo nitajaribu kuandika katika namna ambayo nitakayoyandika yatakuwa yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na nadharia ya uwekezaji kwenye raslimali watu kwa sababu ya umuhimu wake hasa wakati huu ambapo...