Habari wakuu! Jana katika mizunguko yangu nilitembelea k/koo mtaa wa sokoni kule nilienda kufanya utafiti kuhusu bei za Vijora vya Mombasa kwa ajili ya biashara na si mzoefu kwa hili ila bei...
Mimi na mwenzangu ni vijana wenye ujuzi tofauti kwenye career ya IT and telecomm! Tumekuwa tukifanya kazi zetu kwa kuokoteza okoteza hvohvo ila tumefukiri kwamba kama tukapata mtu akakubali...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, Elimu yangu ni ya secondary nimemaliza mwaka 2017.Nashukulu mungu nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kupata chaguzi.Kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na...
The estimated 700,000 members, some of whom are still queuing to stamp their receipts "ready for refund," will now have to wait indefinitely following the shelving of the repayment plan.
Source...
Habari ndugu wana JF,
Naomba msaada wenu kujua hili swali "how trade unions are to be registered in Tanzania" (steps for registering trade unions in Tanzania)
Mmeshindaje wakuu
Nimeanzisha ujenzi wa nyumba tangu mwaka Jana nyumba imeishia kwenye lenta pesa zikaniishia.
Sasa nimejichanga nimepata milion 4 nawaza sijuwi nimalizie nyumba yangu halafu...
Kuanza biashara inahitaji maandalizi ya kutosha, uwe na resources za kutosha ikiwemo mtaji n.k, na ukafanikiwa kuanza basi changamoto zinakua zipo haswa kama ulikua na matarajio makubwa inaweza...
Nina wazo la biashara.
Ninataka kuuza mchele kwenye pakeng. Kuanzia kilo hadi kilo 25kg, ila sijui wapi nianzie, na mtaji wangu sio mkubwa sana, mwenye kuweza kunisaidia kwa hili, aniambie.
Hakika ule msemo wa pesa sabuni ya roho umejidhihirisha baada ya Bilionea Laizer kupongezwa kimasai na Benki ya NMB wakionyesha heshima kubwa kwake.
Pata pesa benki zikufate popote ulipo tena...
Ninafikiri hakuna asiyefahamu kuhusu ALLIANCE IN MOTION GLOBAL, Basi hizo picha hapo chini moja wapo inayomuonyesha Donald Trump akiwa ameshika hilo bango linaloonyesha Food Supplementary za...
Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ya simu.
Hakuna ubishi wowote kwamba intaneti kwa njia ya simu...
Leo nataka tujadili kidogo kuhusu biashara ya kuuza na kununua biashara.Sio bidhaa wala sio huduma bala ni biashara ndo inauzwa na kununuliwa.
Kwa wengin wanaweza kufikiri kwamba hili ni jambo...
Habari wana JF, ninatarajia kuanzisha biashara ya kuuza barafu (ice cubes) na kuuza kwa kilo. Sasa nastruggle kupata location itakayoendana na biashara yangu. Mchakato mzima uko hivi.<br />
1...
Baadhi ya watu huwaza namna hii
“Nitafanya kazi kwa maarifa zaidi, lakini si kwa juhudi kubwa” ❌
Wengine huwaza namna hii
"Nitafanya kazi kwa juhudi kubwa"✔
Kiuhalisia nani atafanikiwa...
Habari ,
Wakuu ipo hivi "nataka nifanye biashara ya pikipiki(bodaboda) kwa mkataba yani nampa dereva pikipiki awe ananiletea sh 10000 kwa kila siku then baada ya mwaka mmoja inakua yake, hapo...
Biashara nyingi za wafanyabiashara ngozi nyeusi hufa mwanzilishi akifa tofauti na za wahindi,waarabu na wapemba
Wahindi ndio wanaongoza duniani kwa uwezo mkubwa wa familia kuweza kuendesha...
Hello!
Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.
Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa...
National Parks mark sixty years of conservation success in Tanzania
Prof Grzimek and the first president of Tanzania dr Julius Nyerere
Standing as the leading tourist attraction hotspots in...
Habari zenu wadau,Mimi ni hotelia nataka kuacha kazi nijiajiri mwenyewe kwenye sekta ya kilimo kwasababu huku tunafanyishwa kazi Kama punda halafu mshahara mbuzi,nakaribisha maoni yenu wadau...
Habari zenu wana JF?
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo, ngoja niende straight katika suala lililobeba kichwa cha habari hapo juu.
Kuna rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikalini ametuma ujumbe kwenye...