Wakuu wasalaam.
Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k...
Tanzania: the race for regional rail supremacy
East African countries have rushed to build new railroads and faced many problems. Tanzania is now building its own. Will it learn from Kenya’s...
Nimefuatilia kwa karibu huu mjdala wa World Bank kuitaja Tanzania kuwa nchi ya kipato cha wastani wa $1080 kwa kila mtanzania.
This can be misleading. Hapo kuna mchezo wa hesabu ambao Watanzania...
Unajua kuna watu huwa nawakutaga wanasema mimi mpira wa BONGO siangaliii kabisa,ukimuuliza kwanini haangaliii Atakupa sababu za ajabu ajabu tena za kijinga jinga zisizo hata na maana yeyote Huwa...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana.
Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na...
Wakuu habarini,
Poleni na michakato ya weekend samahani naomba kwa aliye na muongozo wa kufungua biashara ya cable anipe muongozo.
Nafikiria sana kufungua biashara ya kusuply cable tv
Katika...
Habari za mihangaiko
Kwa wale wenye uzoefu (au wajuao) wa kufunga viungo (spices) kwenye vifuko au makopo, nini kinatakiwa kifanyike kuzuia wadudu au vijidudu kujitokeza na kushambulia viungo...
Habari wakuu!
World Bank wametangaza kua Tanzania kwa sasa ni nchi ya uchumi wa kati, sasa kutokana na taarifa hii sisi kama wananchi taarifa hiyo inaweza kuwa na faida gani kwetu kiuchumi (kwa...
Kuna mdau alinieleza Arusha yeye anauza mishikaki shule ya msingi wanafunzi wanauwezo wa kununua kwa bei ya 300 Tzs mshikaji mmoja, kwa DSM wanafunzi hata 100 wanaona nyingi alafu vitu vyote...
Habari,
Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi.
Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya:
- Kupandisha mtaji
- Kutafuta viwanja
- Kutafuta wateja
- Kuajiri...
Heshima kwenu wakuu,
Ni muda sasa tangu nifahamu biashara hii lakini kwa bahati mbaya hakuna uzi hapa jf unaoelezea biashara hii, naamini kuwa connected ni kitu bora zaidi kwenye biashara yoyote...
Habari wakuu...
Nimepata wazo la kufanya biashara ya Glass and aluminium ili niweze kutengeneza na ku supply madirisha, milango, curtains na bidhaa nyingine zinazohusika na hizo materials...
Habarini wanajamvi.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba msaada wa kujua GNI per capita ya Tanzania mwaka 2020.
Nitashukuru zaidi Nikipata na source ya habari.
Naomba kujua nitamlipiaje ndugu yangu fees yupo India kupitia bank ya ICICI sijui kama ipo hapa Tanzania na pili kutuma fees bila kufungua Acc Bank nionyeshene njia mwenye kujua.
Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na...
Ujasirimali
Office work
‘Vijana msiwaze kuajiriwa, jiajirini'Vijana wameshauriwa kuacha kutegemea ajira za ofisini, badala yake watafakari namna ya kujiingiza katika ujasiriamali ili...